Na kwa upu.mbavu wetu, tulio wengi, ataendelea kuisigina katiba, huku tukimshangilia! Kama ni kulogwa tumelogwa tukalogeka, na mlozi katangulia mbele ya haki!
Uingereza hawana term limit mkuu.Unapofananisha urais wa Tanzania na nafasi ya malkia Uingereza ambayo ni Monarch unadhani ni vitu sawa vya kulinganisha? Kwa nini kama ni kulinganisha asingelinganisha na waziri mkuu wa Uingereza ambaye ndio head of state/govt maana malkia ni ceremonial tu na hereditary? Anajua Waziri mkuu ana term limit.
Pia unalofananisha urais wa Tz na chancellor wa Ujerumani si sawa. Ujerumani kuna Rais ambaye ana term limit kbs ya 5 yrs na maximum ni two terms. Chancellot ni headnof gvt na anakuwa nominated na President. Ni mifumo miwili tofauti kbs.
Kwa hili ninaamnini kbs kuwa kuna agenda imeandaliwa na sisi wengine tunapitishwa kwenye agenda ili kuitimiza bila ridhaa yetu.
Maana sasa kuna dhana mpya ya "atake au asitake". Hata Naibu spika naye anazungumzia hoja hii kwa misingi ya "Rasi hataki". Hapa hoja sio kutaka au kutotaka kwa Rais. Hoja ni mifumo iliyopo ya kuongoza hasa katiba. Jibu ni hairuhusu. Kama ibadilishwe, ni Kwanini ibadilishwe? Na kwanini sasa?
Kweli, asante mkuu.Uingereza hawana term limit mkuu.
CCM wameshachoka kufanya siasa ndiyo maana wanawaza kubadili katiba watawale Milele bila kubughudhiwa na wapinzani.Kweli, asante mkuu.
Bottom line kama nilivosema, UK ni Monarchy.
Sisi tubadili katiba? Why and why now?
Oh yes, mipango haramu ili itimie vizuuri kabisa lazima uwahusishe watu wakunwa na wenye ushawishi kwenye jamii - by Napoleon Bonaparte!!!!!!😓😓😓Mipango haramu sometimes huusisha watu wengi ili itimie.
Habari yote inaishia hapa, kwenye hayo maneno matatu.mkitaka kuamua mnafanya.
Mamlaka ya serikali na chama tawala vinatoka kwa wananchiHabari yote inaishia hapa, kwenye hayo maneno matatu.
"....mkitaka kuamua mnafanya." Waingereza na huko Ujerumani, pamoja na kutokuwa mifano sahihi aliyotumia mzeew Butiku, pamoja na kutokuwa mifano mizuri kwa hali inayotukabili..., "wao wakitaka kuamua wanafanya"
Sisi hapa, "hatuwezi kuamua na kufanya". Tunalazimishwa, tutake tusitake, inafanywa, tena kwa madoido makubwa ionekane "Tumeamua na Kufanya"
Ndugu yangu ngoja nikuambie. Wazee nao ni binadamu. Unajua kwenye nchi kama uongozi ni wa kidikteta na unafanya makosa mengi leoakitokea jasiri mmoja akikemea utawala ukamshughulikia wananchi wakapiga kimya, kesho tena akatokea mwingine mambo yakawa yale yale na kesho kutwa hivyo hivyo... hapo watu wengi watakata tamaa. Ni wachache sana watakakubali kuendelea kuhatarisha maisha yao. Hili ndilo linalotokea Tanzania sasa. Viongozi kada zote karibu wote, i.e. vyama vya wafanyakazi, siasa, dini, NGOs etc wote wako mfukoni mwa jamaa.Too bad..!
Wazee hekima zao zimeporomoka sana kwenye utawala huu wa mfalme mtarajiwa, ambaye soon 'atatawazwa' na na kupitishwa na genge la Ndugai pale mjengoni.
Loo, nilikuwa silijui hili. Ahsante kwa elimu mpya! Bila shaka wewe utakuwa ni mtaalam kwenye mambo haya!Mamlaka ya serikali na chama tawala vinatoka kwa wananchi
"wako mfukoni"?NGOs etc wote wako mfukoni mwa jamaa.
Mkate ukiuweka kwenye chai,lazima ulainike.Ngoja tumsikie na Warioba naye anasemaje! Wameanza kulainika hawa wazee!
Wewe mama D ,msimamo wako ni upi!?Nitapita kitaa kusikilizia maoni ya wasiokua na access ya mitandao maana Butiku amesema " Madaraka yote ya serikali na ya chama cha mapinduzi yanatoka kwa wananchi"
Mugabe na Mobutu nao walikuwepo.CCM Ni yaleyale mavi tu.Mavi ni mavi tu hata uyaite uharo,kinyesi,mavi ,madibi,kimba nk yanabaki kuwa mavi.mnafikiri wanapoumba ccm ni ile ileeee ,ni ile ilee huwa wanamaanieha nini?Hata Putin na Mu7 wapo tu!