Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Ila ccm wana maneno jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo familia ya magu wanajisikiaje
 
Yukosahii Mimi nimkristo viongoziwakikristo wanarohohombayasana nandomanawanakufa harakawengiwao niwarafinamafisadi
Nani kahitaji kujua kuwa wewe ni Mkristo au unawashwa washwa na Viongozi wa Kikristo?

Kwanini Raia wa nchi za kiislamu kama Afghanistan, Iran, Syria n.k wakipatwa na machafuko ya nchi hukimbilia nchi za Kikristo (France, UK, America n.k.) ?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaj.......wazuri wataishi milele lakini sio hapa duniani maana dunia yenyewe pia haitakuwepo milele.
 
Kosa la magufuli ni kupambana na CHADEMA mpaka mwisho wakati CHADEMA hawakuwa maadui zake, tena CHADEMA ndio walipiga kelele kuhusu kifo chake.
Kosa lake kubwa sana kupambana na watu ambao hawana ubaya na yeye, labda itakuwa washauri wake wa mambo ya siasa walimshauri afanye hivyo, yani ange wamaliza hawa wakina kinana Makamba, nape na kumtumbua Saa [emoji817] na kumuweka Husseni leo hii Mama Janeth hasinge ishi maisha ya mateso yaki roho

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Yukosahii Mimi nimkristo viongoziwakikristo wanarohohombayasana nandomanawanakufa harakawengiwao niwarafinamafisadi

Katika wakristo kiongozi mwenye roho mbaya alikuwa Magufuli pekee yake. Ndio maana alifia madarakani baada ya kuiba kura.
 
Uimla ulikuwa ni tatizo, sijui tungeishia wapi yarabi, hata hujuma zake zilikuwa ni za ma trillion, hakuchukuwa kitoto!, alibeba furushi kabisa.
Wafia din marope amechukua bil70 mmetulia tu utafukri huwa mnagawiwa wavaa kobaz wote.
 
Kwa hiyo wale watoto wadogo wanaokufa nao wana ubaya gani?

Wale Ni malaika hawana kosa. Tofauti na mtu anayeharibu uchaguzi ili atawale pekee yako, huyo lazima aondolewe kwenye uso wa Dunia.
 
Naona samia karekebisha kauli na kuomba radhi kiaina
 
Katika wakristo kiongozi mwenye roho mbaya alikuwa Magufuli pekee yake. Ndio maana alifia madarakani baada ya kuiba kura.
Na karume alikuwa mkristo!!?
Ukifikisha miaka sitini na mbili ya Magufuli utànikumbusha
 
Kweli mzee makamba kateleza, kimsingi anatakiwa aombe radhi kwa kauli yake hij, anataka kutuambia nini kuhusu JPM wetu, Ben Mkapa, ? Unajua kuongea sana nako ni shida

Kauli yake ilimlenga JPM pekee. Kuna sehemu aliwabana.
 
Kejeli hizo akumbuke dunia uwanja wa fujo tu tunapita chuki yake isimfanye asahau kua hata yeye siku moja ataiacha dunia
Wote tutatkufa kila mtu na muda wake ukifika ndio maana nikishaondoka Duniani nitamwomba Mungu anionyeshe walipo hakina Saanani, Azory, JPM na yeye kwenye listi na....
 
Makamba ana usongo na Magufuli.
Alivyoaibishwa na Magufuli sasa ni payback time!
 
Hapa itabidi tuwaze nje ya box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…