Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kahitaji kujua kuwa wewe ni Mkristo au unawashwa washwa na Viongozi wa Kikristo?Yukosahii Mimi nimkristo viongoziwakikristo wanarohohombayasana nandomanawanakufa harakawengiwao niwarafinamafisadi
Hahahaj.......wazuri wataishi milele lakini sio hapa duniani maana dunia yenyewe pia haitakuwepo milele.Ukisikiliza kwa makini yule mzee anamhakikishia mtukufu kuwa hatakufa
ataishi miaka mingi kama wale wazee wengine..
Nauliza kwani nani amesema atakufa!?
Yule mwingine anasema mambo labda yakiharibika sana ndio tutarajie
mabadiliko 2025, je ni ccm(cham cha mambuzi) wote wanaweza kuvumilia mpaka yaharibike sana
ili kubadilisha mtukufu au ni yeye ndiye huwa anawabadilisha watukufu
kwa hiyo anauhakika bila yeye kusema mambo yameharibika sana hakuna kitakacho badilika.
Mwisho, mambo ili yaharibike sana yanatakiwa yawaje!?
Hizi kauli za wazuri hawafi, mungu(sio Mungu) kaamua ugomvi, na wazee tulisema hapana
zina maana gani!?
Je ccm huwa kuna mungu(sio Mungu) amabaye huwa anaamua ugomvi!?
Wazee wapi waliosema hapana enzi zile!?
Naomba majibu wakuu
Enewei wazuri wataishi milele....
Kosa lake kubwa sana kupambana na watu ambao hawana ubaya na yeye, labda itakuwa washauri wake wa mambo ya siasa walimshauri afanye hivyo, yani ange wamaliza hawa wakina kinana Makamba, nape na kumtumbua Saa [emoji817] na kumuweka Husseni leo hii Mama Janeth hasinge ishi maisha ya mateso yaki rohoKosa la magufuli ni kupambana na CHADEMA mpaka mwisho wakati CHADEMA hawakuwa maadui zake, tena CHADEMA ndio walipiga kelele kuhusu kifo chake.
Kwa hiyo Mheshimiwa Mnauye(R.I.P) hakuwa mzuri?Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Yukosahii Mimi nimkristo viongoziwakikristo wanarohohombayasana nandomanawanakufa harakawengiwao niwarafinamafisadi
Vizuri siku zote havidumu yesu alikufa akiwa na 30's
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Wafia din marope amechukua bil70 mmetulia tu utafukri huwa mnagawiwa wavaa kobaz wote.Uimla ulikuwa ni tatizo, sijui tungeishia wapi yarabi, hata hujuma zake zilikuwa ni za ma trillion, hakuchukuwa kitoto!, alibeba furushi kabisa.
Kwa hiyo wale watoto wadogo wanaokufa nao wana ubaya gani?
Akikujibu nistue tafadhali maana akili zikikosekana kwa Mtu mzima ni mzigo sana [emoji38]Kwa hiyo wale watoto wadogo wanaokufa nao wana ubaya gani?
Na karume alikuwa mkristo!!?Katika wakristo kiongozi mwenye roho mbaya alikuwa Magufuli pekee yake. Ndio maana alifia madarakani baada ya kuiba kura.
Kweli mzee makamba kateleza, kimsingi anatakiwa aombe radhi kwa kauli yake hij, anataka kutuambia nini kuhusu JPM wetu, Ben Mkapa, ? Unajua kuongea sana nako ni shida
Na karume alikuwa mkristo!?
Wote tutatkufa kila mtu na muda wake ukifika ndio maana nikishaondoka Duniani nitamwomba Mungu anionyeshe walipo hakina Saanani, Azory, JPM na yeye kwenye listi na....Kejeli hizo akumbuke dunia uwanja wa fujo tu tunapita chuki yake isimfanye asahau kua hata yeye siku moja ataiacha dunia
Makamba ana usongo na Magufuli.Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional
Source TBC
Hapa itabidi tuwaze nje ya boxUkisikiliza kwa makini yule mzee anamhakikishia mtukufu kuwa hatakufa
ataishi miaka mingi kama wale wazee wengine..
Nauliza kwani nani amesema atakufa!?
Yule mwingine anasema mambo labda yakiharibika sana ndio tutarajie
mabadiliko 2025, je ni ccm(cham cha mambuzi) wote wanaweza kuvumilia mpaka yaharibike sana
ili kubadilisha mtukufu au ni yeye ndiye huwa anawabadilisha watukufu
kwa hiyo anauhakika bila yeye kusema mambo yameharibika sana hakuna kitakacho badilika.
Mwisho, mambo ili yaharibike sana yanatakiwa yawaje!?
Hizi kauli za wazuri hawafi, mungu(sio Mungu) kaamua ugomvi, na wazee tulisema hapana
zina maana gani!?
Je ccm huwa kuna mungu(sio Mungu) amabaye huwa anaamua ugomvi!?
Wazee wapi waliosema hapana enzi zile!?
Naomba majibu wakuu
Enewei wazuri wataishi milele....