Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Hivi kamtaja Magufuli kwani?
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025...
Mzee kasema yeye katoboa tobo, mengine mtajaza wenyewe😂

Lkn hivi twende mbele turudi nyuma, si kasema ukweli? Magufuli angeacha watu waseme wakati ule asingesimangwa leo akiwa keshajifia zake
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025...
Labda mambo yawe mabaya sana
 
Pambaneni sasa
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025...
Huyu Mzee namuombea Mwenyezi Mungu amfunulie. Eti Watu wazuri hawafi?? Hell you..:'

Watu wenye dhambi mnaachwa mutubu.. makamba is silly crazy Old Man
 
Na mwanae kabeba wizara nyeti. Kila kona ya Kariakoo majenereta yananguruma.
 
Hembu weken

Audio...ya makamba, mbunge wa mtama na Mzee makamba
 
Mzee kasema kweli kabisa, kwa lugha yake "Katoboa Tobo"🤣🤣
 
Viongizi CCM wasiwe complavent na hali ya kidiasa na kujiamini sana.
Wananchi wasikilizwe.
Nimefurshi SSH huwa anafuatilia kwa karibu.
 
Uzuri maneno huwezi rudisha mdomoni
 
..Mzee Makamba ni kama mtu aliyetupa jiwe gizani, sasa kuna watu wenye hatia wanadhani walengwa ni wao.
Ndio maana unatakiwa una ufanye comparison kwa akili kama watu wabaya wanakufa mbona Sokoine alifariki mapema? Tumia akili sio ushuzi.
 
Huyu mzee tumsamehe, umri wake umekataa, sijui kustaafu humanisha nini , maana hata akili najua hugoma .
Huyu hakustahili kuwa chawa hana cha kupoteza. Labda kma lengo anafagia kwa ajili ya mwanae.

Lakini akumbuke juzi ametukana waandishi kwa kauli isiyo safi, kana kwamba ana hati miliki ya taifa, 61 miaka tatizo la umeme ni kubwa haupo ubunifu wa kudumu kila kitu kinajengwa partial tu. Halafu ana lazimisha watu washukuru kwa matumizi mabaya ya mali ya umma. HANA UCHUNGU NA NCHI. NA MWANAE HAFAI PIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…