Huyu Mzee namuombea Mwenyezi Mungu amfunulie. Eti Watu wazuri hawafi?? Hell you..:'
Watu wenye dhambi mnaachwa mutubu.. makamba is silly crazy Old Man
Waswahili wanasema kizuri hakidumu,
Yeye anasema kinyume sasa
Mbona alizionesha akiwa hai. Mpaka wakadukuliwa maongezi. All in all Kama ulifatilia kauli ya makamba kwenye mkutano mkuu hakumaanisha ubaya, Basi watu wanajishtukia. Yani wao wanawaza wanasemwa wao.Jamaa anachuki na mu ambaye hayupo kujibishana nae, nimgemuona wa maana kama hizo chuki angezionyesha wakati jamaa yupo hai tungemuona wa maana...
Ndio maan hapi alisema hatawatwanga
Kweli kabisa mkuu. Unaweza kuta mwaka huu usiishe mara Mwezi wa Kwanza anakufa, sijui Baba yetu Mauzi atasemaje? Atasema mwanae alikuwa mbaya ndiyo maana kafa?? Nadhani anapaswa aombe msahama mbele ya hadhara ili jamii imsamehe otherwise ulimwengu wa roho hutenda mambo tusiyoyajua. Maana kifo hata uwe nani wote tutakufa tu.
Makamba mzee siyo thinker on his feet.
Leo siyo siri kajiaibisha kiasi fulani.
Kuongea bila kufikiri kuna madhara yake.
Takataka kama hiyo siku nikisikia imekufa ntafurahi na kumshukuru sana Mungu.
Nchi zenye watu wenye hasira angetafutwa na kupigwa mawe afe na watu wenye hasira kali, maana kifo cha JPM kilitia mashaka sana, mtoto wa huyu mzee alihusishwa na account ya KIGOGO na mpaka leo watu bado wanagombana na mzimu wa marehemu, hii nchi ina watu wapole sanaMzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo...
Mbona huyo mungu wako asikuondolee ccm?
Kwahiyo na wewe utakapokufa utakuwa ni mpumbavu?
Nchi zenye watu wenye hasira angetafutwa na kupigwa mawe afe na watu wenye hasira kali, maana kifo cha JPM kilitia mashaka sana, mtoto wa huyu mzee alihusishwa na account ya KIGOGO na mpaka leo watu bado wanagombana na mzimu wa marehemu, hii nchi ina watu wapole sana
Asali imechachuka mkuu, halafu yeye anaendelea kunywa tuMkuu nimecheka sana hii comment, kwani buyu la asali ni pombe?
Ndio maana unatakiwa una ufanye comparison kwa akili kama watu wabaya wanakufa mbona Sokoine alifariki mapema? Tumia akili sio ushuzi.
Education, Education, Education; Huu upande wa pili ndiyo wote au 90% wanavyofikiri; Less education; wamekalia superstition; wakati wa JK pale ikulu palikuwa na "Kitengo cha Ufundi" haaaaa! Rais akawa anaanguka kila mahali akienda; LolMzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo...
Mtu akitema cheche hizo ni kibri kuwa amelewa madaraka. He knows Samia survival imo mikononi mwao! Kusema kitu kama hicho Katibu Mkuu n wazi ni ya Moyoni. Wanaongea pembeni; sasa hivi ndiyo ametoboa kupima maji.Hapo hanywi kilevi kwa mujibu wa imani yake, sijui angekuwa anabwia ulabu sijui angekuwaje
Dawa za maradhi yasiyo ya kuambukiza ukizitumia kwa muda mrefu zinaleta shida kichwani !!Mtoto wa mwinyi aliyekufa alikuwa syo mzuri? Maalimu seif alikuwa syo mzuri? Kazee sa hivi akili zishamruka ndo maana kakihojiwa kanapaniki ovyo