Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Huyu Mzee namuombea Mwenyezi Mungu amfunulie. Eti Watu wazuri hawafi?? Hell you..:'

Watu wenye dhambi mnaachwa mutubu.. makamba is silly crazy Old Man

Naona mnamuonea mzee bila kujua alimaanisha Nini.
 
Jamaa anachuki na mu ambaye hayupo kujibishana nae, nimgemuona wa maana kama hizo chuki angezionyesha wakati jamaa yupo hai tungemuona wa maana...
Mbona alizionesha akiwa hai. Mpaka wakadukuliwa maongezi. All in all Kama ulifatilia kauli ya makamba kwenye mkutano mkuu hakumaanisha ubaya, Basi watu wanajishtukia. Yani wao wanawaza wanasemwa wao.
 
Kweli kabisa mkuu. Unaweza kuta mwaka huu usiishe mara Mwezi wa Kwanza anakufa, sijui Baba yetu Mauzi atasemaje? Atasema mwanae alikuwa mbaya ndiyo maana kafa?? Nadhani anapaswa aombe msahama mbele ya hadhara ili jamii imsamehe otherwise ulimwengu wa roho hutenda mambo tusiyoyajua. Maana kifo hata uwe nani wote tutakufa tu.

Amuombe Nani msamaha. Mbona aliposema mama asipofika 2025 Mungu ataleta mwingine? Tatizo watu mpo guilty ivyo mtu akiongea Jambo mnajushtukia na kuzusha maneno.
 
Makamba mzee siyo thinker on his feet.
Leo siyo siri kajiaibisha kiasi fulani.
Kuongea bila kufikiri kuna madhara yake.

Nimemsifu , kawapiga watu kwenye mshono Tena hadharani mpaka wajumbe wakashangilia, sometimes watu waovu huondolewa wasiendelee kutesa Wana wa Mungu.
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo...
Nchi zenye watu wenye hasira angetafutwa na kupigwa mawe afe na watu wenye hasira kali, maana kifo cha JPM kilitia mashaka sana, mtoto wa huyu mzee alihusishwa na account ya KIGOGO na mpaka leo watu bado wanagombana na mzimu wa marehemu, hii nchi ina watu wapole sana
 
Mbona yeye Magufuli hakupigwa mawe?. L
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo...
Education, Education, Education; Huu upande wa pili ndiyo wote au 90% wanavyofikiri; Less education; wamekalia superstition; wakati wa JK pale ikulu palikuwa na "Kitengo cha Ufundi" haaaaa! Rais akawa anaanguka kila mahali akienda; Lol
 
Hapo hanywi kilevi kwa mujibu wa imani yake, sijui angekuwa anabwia ulabu sijui angekuwaje
 
Hapo hanywi kilevi kwa mujibu wa imani yake, sijui angekuwa anabwia ulabu sijui angekuwaje
Mtu akitema cheche hizo ni kibri kuwa amelewa madaraka. He knows Samia survival imo mikononi mwao! Kusema kitu kama hicho Katibu Mkuu n wazi ni ya Moyoni. Wanaongea pembeni; sasa hivi ndiyo ametoboa kupima maji.
 
Mtoto wa mwinyi aliyekufa alikuwa syo mzuri? Maalimu seif alikuwa syo mzuri? Kazee sa hivi akili zishamruka ndo maana kakihojiwa kanapaniki ovyo
Dawa za maradhi yasiyo ya kuambukiza ukizitumia kwa muda mrefu zinaleta shida kichwani !!
 
Sisi watu wa cuba tunajua kabisa mama hatoboi 2025 na wanaompamba Leo ndio watakaomchinja ili kupitisha Rafiki zao ama watoto wao.
 
Back
Top Bottom