Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mkuu kama Magufuli angekuwa kweli kama hivyo mnavyomuelezea kwamba alikuwa anauwa watu hovyo basi angekuwa keshawamaliza hawa watu maana aliwajua toka yupo hai asingewaacha walikuwa wabaya wake, labda tuseme aliona noma au kuna namna iliyomfanya ashindwe kuwauwa kama alivyokuwa anauwa hovyo hao wengine.
 
Dalili za mchawi utazijua tu
Kwa maneno na vitendo pia

Kwa hiyo yeye yupo kwenye kundi gani wasiokufa kabisa au
Ni ajabu sana kuzungumzia kifo wakati tunajua fika kifo kipo kwa kiumbe yeyote yule awe mtoto, mzeee, mchawi, mwizi, na hata muuwaji

Atafute kundi tunuweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…