Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mfia dini, hii kauli mzee makamba kaikosea kidogo angeiweka kwa namnaa nyingine. Watu wote hufa, uwe mzuri au mbaya kifo ni lazima.
Kama amesema haya kweli basi ana matatizo. Hivi anataka kutuambia kuwa wale wote waliokufa walikuwa watu wabaya na walikuwa hawapendwi?Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Source TBC
Huyo mzee ni mjinga sanaKejeli hizo akumbuke dunia uwanja wa fujo tu tunapita chuki yake isimfanye asahau kua hata yeye siku moja ataiacha dunia
Huyu Mzee anaudhi sana,hv anatonaje sisi wananchiMzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Source TBC
Utajuaje sasa wakati umekufa?Anataka kumaanisha nini? haya maisha haya ukifa ndio utajua nani mwema kwako na nani adui kwako tuishini vizuri tu tukiwa hai.
Fisiemu ni mzigo mzito kwa watanzaniaMiaka 50 ya Uhuru bado tunalia maji na umeme?
Aseme tu kwamba WEZI na wanaoruhusu WIZI huwa hawafiMzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Source TBC
Mtume Muhamad bado yupo hai? Asimkufuru Mungu huyu mzee. Au mtume alikufa akiwa na Umri gani?Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Source TBC
Nimeumia sana kwa hii kauli ya huyu mzee.. amekufuru. Nimeuliza swali hilo hilo Je Mtume Muhamad alikuwa na Ubaya gani? Na hao aliowataja wakacheka bila kukemea wanafahamu kweli Dini?Serikali ya Saudi Arabia iombwe Maka na na Medina zihamishiwe Bumbuli, Tanga nyumbani kwa Mzee Makamba mtu mzuri aliye hai kuliko marehem mtume Mohamed ambaye hakuwa mtu mzuri ndio maana alikufa
Serikali iwasiliane na Serikali ya Saudi Arabia haraka na jiwe kaaba lihamishiwe upesi Bumbuli .Air Tanzania wapewe hiyo kazi ya kubeba hilo jiwe kwenda Bumbuli, Tanga nyumbani kwa mtume bora kwa uzuri kuliko msrerehemu mtume Mohamed. Mzee Mzee Makamba
Wazazi wako wote wapo? Wataishi miaka yote? Ndugu zako? Wewe Dini gani kama unayo.... Msikubali mtu aongee upuuzi kama huu.Umenena mzee. Kitabu cha mithali kinasema Mtu mwema akishika madaraka mioyo ya watu hufarijika lakini asiyehaki akikaa kitini mioyo ya watu huugua.
So hayo ni matokeo ya mioyo kufarijika. Baada ya kuugua kwa Muda mrefu.
Huyu mzee mbona anazeeka vibayaMzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo