Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Sasa mtu kama huyu hizo chuki zake kwa Magufuli utasema ni kwa sababu ya nia njema kwa nchi na watanzania? Jana katoka kuongea maneno ya dharau yasio wapendeza watanzania halafu leo anasema watu wazuri hawafi na mfano wa hao watu wazuri ni JK na Kinana kwamba wapo hai hawajafa kwa sababu ni watu wazuri!!!
Kwani si mnajua polonium inakopatikana? Au area D style? Au kama swala la mzee mangula? Usilalamike humu
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025

Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo

Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025

Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional

Source TBC
Kumbe baba yule hakuwa mtu mzuri! Akitulia atajirudi.
 
Yukosahii Mimi nimkristo viongoziwakikristo wanarohohombayasana nandomanawanakufa harakawengiwao niwarafinamafisadi
 
Mkuu kama Magufuli angekuwa kweli kama hivyo mnavyomuelezea kwamba alikuwa anauwa watu hovyo basi angekuwa keshawamaliza hawa watu maana aliwajua toka yupo hai asingewaacha walikuwa wabaya wake, labda tuseme aliona noma au kuna namna iliyomfanya ashindwe kuwauwa kama alivyokuwa anauwa hovyo hao wengine.
He was too dumb to see, alijua maadui zake ni akina Lema, Sugu na Lissu ndio maana alikuwa akiwafunga na wale madiwani wa chadema aliokuwa akiua
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025

Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo

Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025

Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional

Source TBC
Angoje jibu atakalompatia Mwenyezi Mungu hivi karibuni. Ina maana Nyerere na Mkapa walikuwa waovu ndio maana walikufa?
 
Back
Top Bottom