Huyu hakusubiri hadi jiwe afe mbona alikamatwa kwenye yale maongezi ya kumteta kwa simu.Anataka kumaanisha nini? haya maisha haya ukifa ndio utajua nani mwema kwako na nani adui kwako tuishini vizuri tu tukiwa hai.
Kwani si mnajua polonium inakopatikana? Au area D style? Au kama swala la mzee mangula? Usilalamike humuSasa mtu kama huyu hizo chuki zake kwa Magufuli utasema ni kwa sababu ya nia njema kwa nchi na watanzania? Jana katoka kuongea maneno ya dharau yasio wapendeza watanzania halafu leo anasema watu wazuri hawafi na mfano wa hao watu wazuri ni JK na Kinana kwamba wapo hai hawajafa kwa sababu ni watu wazuri!!!
Mbona hajamtaja Magufuli!?Mzee mbumbumbu hao ndio huitwa wazee hovyo kabisa, unadhani magufuli hana wafuasi huko kwenye mkutano? Kosa yadumishe umoja ni kisababisha mipasuko
Kumbe baba yule hakuwa mtu mzuri! Akitulia atajirudi.Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional
Source TBC
Mbona Nyerere alidumu na kuiongoza nchi yetu kwa miaka 24?Ninachojua mimi " watu wema hawadumu" angalia JPM ambae alikuwa mkombozi wa Tz hakudumu. Labda Mungu alitaka akaongoze malaika wake.
Maisha yenyewe ya kupitaWatawala wa kikristo wengi wao wana roho mbayaaaa
Roho mbaya ipi.., hamia kwa waislamu ukawe na roho nzuri na wewe.Yukosahii Mimi nimkristo viongoziwakikristo wanarohohombayasana nandomanawanakufa harakawengiwao niwarafinamafisadi
Kwahiyo mamako atakapokufa siku zijazo hivi karibuni atakuwa ni mbaya sana ee?Umri wa babake Makamba ulisababisha afariki. Lkn jiwe alikuwa bado mdogo kiumri kuliko hata Kikwete, ubaya umemfanya awahi kufa.
Mkapa mbona yeye alikuwa ameshamaliza urais wake na alikuwa na miaka 75...Kwahiyo mkapa na magufuli waliokufa walikua wabaya? Anazeeka vibaya huyo mzee
Alikufa mzee umri wa Biblia mtu astahilio. Dunia mapito tuache kukimbiza upepo kwa kutesa wengine.Kwa hiyo babake makamba bado yupo?
Kama hayupo nae alikuwa mbaya?
He was too dumb to see, alijua maadui zake ni akina Lema, Sugu na Lissu ndio maana alikuwa akiwafunga na wale madiwani wa chadema aliokuwa akiuaMkuu kama Magufuli angekuwa kweli kama hivyo mnavyomuelezea kwamba alikuwa anauwa watu hovyo basi angekuwa keshawamaliza hawa watu maana aliwajua toka yupo hai asingewaacha walikuwa wabaya wake, labda tuseme aliona noma au kuna namna iliyomfanya ashindwe kuwauwa kama alivyokuwa anauwa hovyo hao wengine.
Jiwe alikuwa mbaya. Chukua hiyo toka kwa mzee Makamba acha kuwa mbishiKwahiyo mamako atakapokufa siku zijazo hivi karibuni atakuwa ni mbaya sana ee?
Kwa hiyo wale watoto wadogo wanaokufa nao wana ubaya gani?Alikufa mzee umri wa Biblia mtu astalio
Alikuwa mbaya kwa wapumbavu tu!Jiwe alikuwa mbaya. Chukua hiyo toka kwa mzee Makamba acha kuwa mbishi
Sio watawalaKwa hiyo wale watoto wadogo wanaokufa nao wana ubaya gani?
Kumbe mungu wako anabagua watawala tu?Sio watawala
Unataka kusema mzee Makamba , Kikwete na Kinana ni wapumbavu?Alikuwa mbaya kwa wapumbavu tu!
Angoje jibu atakalompatia Mwenyezi Mungu hivi karibuni. Ina maana Nyerere na Mkapa walikuwa waovu ndio maana walikufa?Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional
Source TBC