Unadhani wanatofautiMzee kavimbiwa madaraka anatapika ushenzi mtupu, huyu mzee inawezekana enzi za ujana wake hakuwa tofauti na mwijaku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani wanatofautiMzee kavimbiwa madaraka anatapika ushenzi mtupu, huyu mzee inawezekana enzi za ujana wake hakuwa tofauti na mwijaku.
Ko tutalajie yy kuish milele au sioKasema kweli we uoni Kikwete na Mzee Mwinyi wapo hai hadi leo
Hivyo ule msemo wetu wa WATU WAZURI HAWADUMU ulikuwa umekosewa?Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional
Source TBC
Angeweza vipi kushirikiana na upunzani wakati walikua bize na mashirika ya habari yabkimataifa kumchafua?Magufuli wenu sikumpenda hata kidogo baada ya kuanza kuua watu hovyo na kuona upinzani ni uadui, lakini lazima nikiri kuwa watu wanafiki kama huyu ndiyo alitakiwa awafanye kitu kibaya kabisa ikibidi awapoteze. Angekuwa amewashughulikia na kuona upinzani ni washirika wake Tanzania ingekuwa mahali pazuri sana leo. Maskini hakujua kuwa maadui wake halisi ni wana CCM wenzake. Huyu mzee anawakilisha mawazo ya akina Kinana, Kikwete na wengine wengi.
Kuna waliokufa bila mapenzi ya Mungu?
Ana maana Magufuli hakuwa mtu mzuri. Huyu Yusuf anazeeka vibaya. Ila ajue anawachuria hao anaowaita wazuri ,Mungu hadhihakiwi
Umeenda mbali mno.....acha uchokoziKwa kauli yake Mzee Makamba anamaanisha wazi kuwa mtume Mohamed kiongozi wa dini yake alikufa sababu alikuwa mbaya
Wao akiwemo yeye, Mzee Makamba, Mzee Kinana na Mzee Kikwete wako hai saba6ni wazuri kuliko marehemu mtume Mohamed
Taizo itikadi za upinzani zinawapoteza.. kabisa mtu unamjua adui yako ni huyu na hakutakii mema unaacha kumuua unaenda kuua mwenyekiti wa chadema wa mtaa? Hawa upinzani hawajielewi..wangejielewa na kuelewa wananchi wana akili gani muda huu, wangekua na nguvu sanaMkuu kama Magufuli angekuwa kweli kama hivyo mnavyomuelezea kwamba alikuwa anauwa watu hovyo basi angekuwa keshawamaliza hawa watu maana aliwajua toka yupo hai asingewaacha walikuwa wabaya wake, labda tuseme aliona noma au kuna namna iliyomfanya ashindwe kuwauwa kama alivyokuwa anauwa hovyo hao wengine.
Alichokosea ni kujipa nafasi ya kuhukumu maisha ya watu wengne wakat hata yeye anae wa kumjudge,wazee km hawa ni hasara na takatakaKauli ya mzee sio sahihi lakini haimanishi Magufuli alikuwa mzuri.
Akili huna mwehu wwHuyo ni mwanaccm anaimarisha chama chake,kakwambia Kuna kitu anataka!?
Angeweza vipi kushirikiana na upunzani wakati walikua bize na mashirika ya habari yabkimataifa kumchafua?
Sera zote za upinzani bwana magufuli amezitekeleza kwa kishindo ndiyo maana walamba asali hawakumpenda..
Upunzani ulishindwa kumuelewa magufuli.. ila magufuli aliwachukua wapinzani wenye uwezo akawapa nafasi kubwa kwenye chama na hata uwaziri.. ndiyo maana hakupendwa na ccm wenzake..
Magufuli huwezi mpenda ukiwa na akili ya kuvukia barabara tu.Magufuli wenu sikumpenda hata kidogo baada ya kuanza kuua watu hovyo na kuona upinzani ni uadui, lakini lazima nikiri kuwa watu wanafiki kama huyu ndiyo alitakiwa awafanye kitu kibaya kabisa ikibidi awapoteze. Angekuwa amewashughulikia na kuona upinzani ni washirika wake Tanzania ingekuwa mahali pazuri sana leo. Maskini hakujua kuwa maadui wake halisi ni wana CCM wenzake. Huyu mzee anawakilisha mawazo ya akina Kinana, Kikwete na wengine wengi.
Kuna kundi lina chuki na Magufuli sababu waliathirika na utawala wakeKauli ya mzee sio sahihi lakini haimanishi Magufuli alikuwa mzuri.
Ni vice versa.
Ni mashaka na mahangaiko,Wema hawana maisha-Aliimba komredi mmoja.
Viongozi wanaosimamia Kweli na HAKI hawadumu.
Wapinzani walikuwa na tabia ya kisenge ya kumchafua raisi na lengo hasa kum frastruate ili akiwajibua waseme wameonewaMagufuli ndio alianza uchokozi kwa wapinzani. Kwanza kuwapiga marufuku kufanya mikutano ya hadhara, kumbuka UKAWA walikuwa wanaandaa mikutano ya shukrani jamaa akapiga marufuku.
Pili, Magufuli akadai wapinzani ndio wamechelewesha nchi isipate maendeleo. Mbona wamekataza mikutani miaka Saba Sasa lakini mgao wa maji na umeme bado upo?.
Tatu, ni huyu Magufuli alimwambia Spika ndugai awashughlikie upinzani ndani ya bunge yeye atawashughulikia nje ya bunge.
Magufuli alitakiwa atengeneze mazingir ya yeye kufanya mambo yake na kuwaacha wapinzani wafanye yao.