Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

Huyo mzee mjinga Sana. Kwa hivyo tumuandae dikteta Kama magufuli?. Watu wasio julikana?. Mimi kwangu rais yeyote anayedharau kundi Fulani kwenye jamii na kuona sio watanzania kufa na afe.
Kama wewe unavyomdharau huyo mzee na maoni yake, ni suala la muda tu, utakufa kama mnyama.
 
Wazungu gani ambao Magufuli alwazuia wasituchezee? Au unapumbazwa na soga za makinikia? Kwa taarifa yako hatukupata kitu, ila kwa umbumbumbu wako utabisha
Soma tena uelewe.
Acha papara.
Naongelea kumchezesha movie mama.
 
Raisi anajiwekea ulinzi au ni mapendekezo ya maafisa usalama kulingana na hatari iliyopo… kwa hiyo raisi anajiapisha sio? Raisi anajipigia kura sio! Acha ushamba… kuna mamlaka juu ya mamlaka…

..hakuna hatari yoyote Watz ni watu wapole wapenda amani.
 
Tunapima maneno kwa kuangalia yametoka kwa nani sio mtu kashiba mihogo huko anaongea kwa niaba ya watanzania wote
Kwani wauza kahawa siyo Watanzania? Tena kwa taarifa yako hao ndio wapigakura kuliko wewe nyumbuzzz!!
 
Wauza kahawa ni wazambia? Mdukuzi wa kishamba sana wewe, ulitaka aongee Nape Nauye au Mbowe sio! Mwananchi wa kawaida ndio mwenye kura mkononi, japo hamuzijali kiivyo na siasa zenu maji taka…
Hata msipopiga kura mizimu ya babu zenu itatupigia
 
Eti hakuna rais Kama magufuli, mnalazimisha watu uongo. Kila Rais alifanya yake akaondoka. Haya ya kulinganisha Marais mmeanza nyie msiojua nchi imetokea wapi mpaka hapa ilipofikia. Kama Marais waliopita wangeweka misingi mibaya hata huyo magufuli asingefanya lolote.

Ila Ni kweli hakuna Rais aliyewahi kufia madarakani zaidi ya magufuli hapa Tanzania Bara.
Karume hakuwa Rais!, mbona alifia madarakani tena kwa kupigwa shaba,kifo akichagui uko wapi wala nani,ni mjinga tu ndie anayeweza kuamini kuwa ukiwa Rais wa Tanzania uwezi kufa ukiwa madarakani.
 
MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele.

“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.

View attachment 2462495
Asante Mzee Mud kwa kubarikiwa Akili na Maarifa
 
Kweli kabisa.
 
Mods tunaomba huu mjadala uhamishie kwenye social media zingine za JF za insta, twitter, facebook
 
..hakuna hatari yoyote Watz ni watu wapole wapenda amani.
Nani kakudanganya, albino wanavyokatwa mikono unafurahia na kuona amani moyoni, pia raisi wa nchi yeyote ni most wanted world wide sio nchini mwake pekee, ulinzi upo design nyingi, pengine huwezi ona..
 
..mbona Nyerere alikuwa halindwi kwa mitutu na watu wa miraba minne wakati kaskazini kulikuwa na vita vya Kagera, na kusini kulikuwa na vita vya Msumbiji?
 
Hata msipopiga kura mizimu ya babu zenu itatupigia
Uliza mwenye hiyo kauli mzee mzindakaya yuko wapi saa hii, mbio za sakafuni huishia ukingoni, hiyo sio kwa Magu pekee, ina maana mizimu ilimgomea maji ya tanga kura aendelee kuwepo bungeni?
 
..mbona Nyerere alikuwa halindwi kwa mitutu na watu wa miraba minne wakati kaskazini kulikuwa na vita vya Kagera, na kusini kulikuwa na vita vya Msumbiji?
Hata Kagame halindwi na watu wa miraba minne as wanyarwanda majority ni wembamba, achana na issue za usalama aiseee, ungeleta chokochoko ndio ungeisoma namba halisi ya viatu vyake… waulize waliotaka kuleta mapinduzi nn kiliwakuta…
 
Back
Top Bottom