Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

watu wote wa Tanga-Pwani kwa ujumla wanapendana sana especially kwenye maakuli.....
 
Ningekuwa mimi ningepikia chakula mafuta yaliokaangiwa poku licha tu ya mafuta ningewawekea na poku.Lengo ni kufanya utafiti kuona kama wakila poku wanakufa au nini kinatokea
 

Huu ndiyo umoja wa kitaifa.Sisi sote ni wanadamu imani zisitutenge na kutuondolea umoja wetu na upendo wa asili wa kitanzania.Mungu akubariki mzee kanisa mzee wa Mtalaamu wa MAHUSIANO WEWE.pongezi pia kwa waislamu mliokubali mwaliko huo wa futari.

Labda wengi hawafahamu uislamu na Ukristo na Uyahudi asili yake ni kwa Ibrahimu,ndiyo maana zinaitwa dini za "Ibrahimic"
 
Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif, na Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo wamekula futari ya watu eti kuumia anaumia yeye la haula la kwata...
achapwe hadharan uyo
 
Kama katoa ubwabwa na kuku unaachaje?unakula vizuri tuh..

Lakini kuwa mkristo kisa ubwabwa no no no nooo,, mwamposa atawapata hao hao wavivu wa kufikiria,siyo WAISLAM wanaojitambua.
Ngoj niwashe TV niweke arise and shine kisha nkupgie pcha uone dada HUSNA na ushungi wake akitoa ushuhuda.
 
Nijifunze kuishi kama mkristo?

Mimi siyo fala, niambiwe eti nifunge ndoa za jinsia Moja then nichekelee...

Au niende Kwa mwamposa niuziwe mchanga.
Mchanga auziwe mwingine uumie wewe! Aisee! Hata kama ni gubu, hii ni too much.
 
Kafiri anamkufuru Mungu!? Nini maana ya utofauti wa Imani!? Huyo unayemuita Kafiri , mbona hata wewe anaona unamkufuru Mungu pia! Kila mtu anaamini yeye Yuko sahihi na mwingine hayuko sahihi.

Punguzeni huu ujinga.
Ukafiri sio matusi bali ni sifa.
Neno "KAFIR" limetoka kwenye lugha ya kiarabu. Kiswahili maana yake ni "Yyt mwenye kumshirikisha Mungu na kitu flani".
Yaani ukiwa na imani kuwa Mungu Ana mshirika mwingine ktk uungu wake . Mfano Mwana na Roho Mtakatifu hapo unakuwa na Sifa ya UKAFIRI.

Kwa maana hio yyt anaeamini kuwa MUNGU NI MMOJA TU. hana Mshirika yyt wala mshauri ktk UUNGU WAKE huo sio kafiri.
Mfano wayahudi na Waislamu.
Hawa wote wanaamini MUNGU MMOJA TU. na Yesu ni mtume na mjumbe wa Mungu na ni binaadamu aloezaliwa kwa miujiza ya Mungu.
Lkn SIO MUNGU WALA MWANA WA MUNGU WALA hana ushirika wwt na MUNGU zaidi ya yeye YESU kuwa MTUMISHI na MTUMWA WA MUNGU.
 
Mchanga auziwe mwingine uumie wewe! Aisee! Hata kama ni gubu, hii ni too much.
Sasa naww inakuaje UNAKUWA fala kias kwamba MTU anakuuzia hadi mchanga wa upako?au chupi za bahati ili upate MTOTO?acheni kuwa mazuzu makafiri
 
Dr Nakusoma Kwa utuvu mkubwa mnoooo....!!

Piga spana,piga spana... makafiri wako kwenye upotofu wa Hali ya juu sana,na hawataki kabisa kuukubali mwangaza nguchiro hawa.
 
Teh teh teh, Hatari sana Maalim wangu, Hatari sana...

Kwenye ibada Zao Wana episodes kabisa za kutoana mapepo, tunawauliza nyinyi makafiri mnasema sisi waislam tuna Fuga mapepo,kulikoni Sasa kwenye ibada zenu mmejazana kila siku mnatoana hayo mapepo,sisi na nyinyi nani sasa anayafuga??wameshaona msikitini Kuna episode ya ibada ya kutoana mapepo.?,mbaya ZAIDI wao wanajiona wako kwenye njia sahihi eti sisi tumepotea,eti Yesu MUNGU YESU MUNGU,toka Lin MUNGU akaenda chooni kukata gogo?teh teh teh...
 
Sio suala la nani fala. Acha gubu. Suala la Imani ni suala binafsi na sio la mtu kulazimishwa. Anayeuziwa mchanga ni Imani yake inamtuma kuamini na halazimishwi, kwa nini iwe shida kwako!? Eti wanapigwa kijinga! Wanatumia hela Yako!?

Eti wewe unaufahamu kamili!? Sasa nani hana ufahamu!? Ndio maana watu wanaenda kwa vibabu vichawi kutafuta utajiri na vibabu vyenyewe vinaishi kwenye vibanda vinavyokaribia kuanguka, ushawahi jiuliza hawana akili!?

Mimi mmachinga, nishaona jamaa kapoteza hirizi ya biashara yake na kesho yake kafunga biashara kasafiri kwenda kwa Babu mpakani na Msumbiji huko kufuata hirizi nyingine. Hapo ni suala la Imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…