Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili imeambatanishwa hapo juu.

MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu.

Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100 nyumbani kwake, Mtaa wa Mdote. Mgeni rasmi alikuwa Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif na ilihudhuriwa pia na Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo.

Nipashe

Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2950296
watu wote wa Tanga-Pwani kwa ujumla wanapendana sana especially kwenye maakuli.....
 
Ningekuwa mimi ningepikia chakula mafuta yaliokaangiwa poku licha tu ya mafuta ningewawekea na poku.Lengo ni kufanya utafiti kuona kama wakila poku wanakufa au nini kinatokea
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili imeambatanishwa hapo juu.

MZEE wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu.

Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100 nyumbani kwake, Mtaa wa Mdote. Mgeni rasmi alikuwa Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif na ilihudhuriwa pia na Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo.

Nipashe

Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2950296

Huu ndiyo umoja wa kitaifa.Sisi sote ni wanadamu imani zisitutenge na kutuondolea umoja wetu na upendo wa asili wa kitanzania.Mungu akubariki mzee kanisa mzee wa Mtalaamu wa MAHUSIANO WEWE.pongezi pia kwa waislamu mliokubali mwaliko huo wa futari.

Labda wengi hawafahamu uislamu na Ukristo na Uyahudi asili yake ni kwa Ibrahimu,ndiyo maana zinaitwa dini za "Ibrahimic"
 
Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif, na Katibu wa BAKWATA Wilaya hiyo, Shabani Nguzo wamekula futari ya watu eti kuumia anaumia yeye la haula la kwata...
achapwe hadharan uyo
 
Kama katoa ubwabwa na kuku unaachaje?unakula vizuri tuh..

Lakini kuwa mkristo kisa ubwabwa no no no nooo,, mwamposa atawapata hao hao wavivu wa kufikiria,siyo WAISLAM wanaojitambua.
Ngoj niwashe TV niweke arise and shine kisha nkupgie pcha uone dada HUSNA na ushungi wake akitoa ushuhuda.
 
Nijifunze kuishi kama mkristo?

Mimi siyo fala, niambiwe eti nifunge ndoa za jinsia Moja then nichekelee...

Au niende Kwa mwamposa niuziwe mchanga.
Mchanga auziwe mwingine uumie wewe! Aisee! Hata kama ni gubu, hii ni too much.
 
Kafiri anamkufuru Mungu!? Nini maana ya utofauti wa Imani!? Huyo unayemuita Kafiri , mbona hata wewe anaona unamkufuru Mungu pia! Kila mtu anaamini yeye Yuko sahihi na mwingine hayuko sahihi.

Punguzeni huu ujinga.
Ukafiri sio matusi bali ni sifa.
Neno "KAFIR" limetoka kwenye lugha ya kiarabu. Kiswahili maana yake ni "Yyt mwenye kumshirikisha Mungu na kitu flani".
Yaani ukiwa na imani kuwa Mungu Ana mshirika mwingine ktk uungu wake . Mfano Mwana na Roho Mtakatifu hapo unakuwa na Sifa ya UKAFIRI.

Kwa maana hio yyt anaeamini kuwa MUNGU NI MMOJA TU. hana Mshirika yyt wala mshauri ktk UUNGU WAKE huo sio kafiri.
Mfano wayahudi na Waislamu.
Hawa wote wanaamini MUNGU MMOJA TU. na Yesu ni mtume na mjumbe wa Mungu na ni binaadamu aloezaliwa kwa miujiza ya Mungu.
Lkn SIO MUNGU WALA MWANA WA MUNGU WALA hana ushirika wwt na MUNGU zaidi ya yeye YESU kuwa MTUMISHI na MTUMWA WA MUNGU.
 
Mchanga auziwe mwingine uumie wewe! Aisee! Hata kama ni gubu, hii ni too much.
Sasa naww inakuaje UNAKUWA fala kias kwamba MTU anakuuzia hadi mchanga wa upako?au chupi za bahati ili upate MTOTO?acheni kuwa mazuzu makafiri
 
Ukafiri sio matusi bali ni sifa.
Neno "KAFIR" limetoka kwenye lugha ya kiarabu. Kiswahili maana yake ni "Yyt mwenye kumshirikisha Mungu na kitu flani".
Yaani ukiwa na imani kuwa Mungu Ana mshirika mwingine ktk uungu wake . Mfano Mwana na Roho Mtakatifu hapo unakuwa na Sifa ya UKAFIRI.

Kwa maana hio yyt anaeamini kuwa MUNGU NI MMOJA TU. hana Mshirika yyt wala mshauri ktk UUNGU WAKE huo sio kafiri.
Mfano wayahudi na Waislamu.
Hawa wote wanaamini MUNGU MMOJA TU. na Yesu ni mtume na mjumbe wa Mungu na ni binaadamu aloezaliwa kwa miujiza ya Mungu.
Lkn SIO MUNGU WALA MWANA WA MUNGU WALA hana ushirika wwt na MUNGU zaidi ya yeye YESU kuwa MTUMISHI na MTUMWA WA MUNGU.
Dr Nakusoma Kwa utuvu mkubwa mnoooo....!!

Piga spana,piga spana... makafiri wako kwenye upotofu wa Hali ya juu sana,na hawataki kabisa kuukubali mwangaza nguchiro hawa.
 
Maalim wangu Shetani alikula kiapo hatoingia Jahannam peke yake.
Na atahakikisha wanaadamu wengi sana wanaingia na yeye MOTONI MILELE.
Kuamini kuwa mchanga na chupi vinaleta bahati sio upofu wa macho huo bali ni UPOFU WA MOYO.

Hapo piga ua hawa bado wataendelea kuamini kuwa mwamposa ni Mtume.
Hata wakisikia mwampoa kabaka mtoto watasema alikuwa anamtoa pepo.

Upofu wa namna hio anaeweza kuwanusuru ni Allah peke yake.
Teh teh teh, Hatari sana Maalim wangu, Hatari sana...

Kwenye ibada Zao Wana episodes kabisa za kutoana mapepo, tunawauliza nyinyi makafiri mnasema sisi waislam tuna Fuga mapepo,kulikoni Sasa kwenye ibada zenu mmejazana kila siku mnatoana hayo mapepo,sisi na nyinyi nani sasa anayafuga??wameshaona msikitini Kuna episode ya ibada ya kutoana mapepo.?,mbaya ZAIDI wao wanajiona wako kwenye njia sahihi eti sisi tumepotea,eti Yesu MUNGU YESU MUNGU,toka Lin MUNGU akaenda chooni kukata gogo?teh teh teh...
 
MUISLAMU yyt wa kweli hawezi kuona mwananchi mwenzake anaibiwa kisha akakaa kimya.
Watu wenye busara ndogo wakianzq kuuziwa mchanga na maji ya azam wakadanganywa kuwa ni maji ya bahati ya upako yanaleta utajiri na kuongeza uzazi sisi ambao tunafahamu kamili lzm tuwashtue wananchi kuwa wanapigwa na wachungaji kijinga sana.

Padri na mchungaji km Ana mchanga wa bahati kwanini asiutumie yeye a watu wa familia yake akuuzie wewe kijiko buku? Au maji ya Azam kijiko jero.

Kwa siku moja kauza mchanga wa milion 500. Nani Fala hapo? Muuza mchanga au mnunua mchanga.!

Mimi nikijibu hilo swali ntaharibu swaumu.
Sio suala la nani fala. Acha gubu. Suala la Imani ni suala binafsi na sio la mtu kulazimishwa. Anayeuziwa mchanga ni Imani yake inamtuma kuamini na halazimishwi, kwa nini iwe shida kwako!? Eti wanapigwa kijinga! Wanatumia hela Yako!?

Eti wewe unaufahamu kamili!? Sasa nani hana ufahamu!? Ndio maana watu wanaenda kwa vibabu vichawi kutafuta utajiri na vibabu vyenyewe vinaishi kwenye vibanda vinavyokaribia kuanguka, ushawahi jiuliza hawana akili!?

Mimi mmachinga, nishaona jamaa kapoteza hirizi ya biashara yake na kesho yake kafunga biashara kasafiri kwenda kwa Babu mpakani na Msumbiji huko kufuata hirizi nyingine. Hapo ni suala la Imani.
 
Shida yenu ni ulafii ukute mzee wa kanisa kawapiga na mixer ya nguruwe mlivyo wa hovyo[emoji23][emoji23][emoji23]
images (16) (2).jpeg
 
Back
Top Bottom