Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Nimeona ni Bora embu fikiria unao mabinti WATATU hujakaa sawa wanapata ujauzito , na mwingine na mwingine Tena kila mmoja zaidi ya mtoto mmoja embu pata hiyo picha afu ni maskani kwako weww mzee
Hii nayo ni aina nyingine ya laana tu, yaani mabinti wote wazalishwe nyumbani, aibu sana kwa wazazi basi tu.
 
Hapo ndio wanaume wengine wanalianzisha Ila wanawake hawawaachii watoto kirahisi labda umpachike kesi ya uchizi ndio unapewa mtoto
NI haki yake kuwa na mtoto ila ni haki yako baba mtoto kutimiza wajibu wako kama baba. Ubaya ni kwamba hata uo wajibu wa baba wengi wanashindwa kuutimiza.
 
Wapo wanaozaa wakiwa miji mengine, ila watoto hupeleka kulelewa na wazazi wao.
Kwakweli huu mzigo watoto wa kike ni nuksi sana, anazaa na mtu, hana uwezo wa kipato hata cha mlo mmoja, hatari sana.
Hapo ndio unapojua hawa wanawake kichwa maji. Yaani u aona kabisa maisha magumu kula yenu ta u ila anapanua tuu mapaja na kushika mimba...sijui wanadhani watoto wanakula manii?
 
Hapo ndio unapojua hawa wanawake kichwa maji. Yaani u aona kabisa maisha magumu kula yenu ta u ila anapanua tuu mapaja na kushika mimba...sijui wanadhani watoto wanakula manii?
Kwenye hili wanastahili lawama, anaona kabisa hali halisi ya maisha ya mwanaume wake lakini anaamua kumzalia, tena mwingine anakosea mara ya kwanza anaona haitoshi anazaa na wapili alafu malezi kwa bibi na babu 😬
 
Yeah kuna wanaume wengi hata awe na mtoto 1 hawataki kumuoa hata kama binti ni mrembo na wife material kiasi gani
Kuna mwamba alijitoa muhanga kuoa single mother ana injini 3 kila moja Ina baba yake Ila single mother kagoma, kisa unajua ni nini? Yaan ndio ujue wanawake baadhi ni zero brain kagoma kisa eti atakosa mgao wa kila mtoto, yaan kila mtoto baba anatoa mgao kila mwisho wa mwezi yaan km wanalipa Kodi ya matunzo ya watoto kwa hio mama anaona mradi utakufa kagoma kuolewa
 
Kwenye hili wanastahili lawama, anaona kabisa hali halisi ya maisha ya mwanaume wake lakini anaamua kumzalia, tena mwingine anakosea mara ya kwanza anaona haitoshi anazaa na wapili alafu malezi kwa bibi na babu 😬
Vibinti vinazalishwa ovyoovyo sana siku hizi ndo maana mitaa imejaa mitoto sio poa
 
Vipi na wale mnaozalisha mabinti za watu na kuwabeba watoto wenu kwenda kuwabwagia wazazi wenu wawalelee?
Wazazi wanapenda kulewa wajukuu kutoka kwa watoto wao wakiume tena wanafurahi sana na wanawachagulia majina ya kuwaita wajukuu zao, tena utasikia huyu mjukuu wangu namuita jina la Babu yangu mzaa mama au mzaa Baba tena laki Mira.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwamba alijitoa muhanga kuoa single mother ana injini 3 kila moja Ina baba yake Ila single mother kagoma, kisa unajua ni nini? Yaan ndio ujue wanawake baadhi ni zero brain kagoma kisa eti atakosa mgao wa kila mtoto, yaan kila mtoto baba anatoa mgao kila mwisho wa mwezi yaan km wanalipa Kodi ya matunzo ya watoto kwa hio mama anaona mradi utakufa kagoma kuolewa
Kwa hiyo yeye kawachukulia wale watoto kama kitega uchumi kupitia ile child support amesahau watoto watakua wataondoka nyumbani watamwacha na upweke
 
Hawa mabinti wawekewe njiti tu Ndio suluhisho
 
Back
Top Bottom