Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Rudisha pete za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekutupia gundu blaza......Weekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani
Una uliza thamani ya pete bila picha au unafikiri jf ni ya watabiri?Weekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani
WasingezivuaHawana shobo za kuvaa vitu expensive wakiwa barani kwetu,usishangae ukakuta hazifiki hata buku.
,Una uliza thamani ya pete bila picha au unafikiri jf ni ya watabiri?
Za kwake ndio, maana ndie anaezimiliki kwa sasa kuzirudisha kwa mwenyewe ana hiari halazimiki, na kuokota si kuiba aliepoteza ndio mjinga.Huenda huyo mzungu alirudi kuulizia hapo hakupata! Why usiacha maagizo kwamba kuna vitu umeviokota? Uuze kwani ni zako?
Mmh hizo shortcuts siyo bana! Wala Siye mmiliki azirudishe alipookota. OvaZa kwake ndio, maana ndie anaezimiliki kwa sasa kuzirudisha kwa mwenyewe ana hiari halazimiki, na kuokota si kuiba aliepoteza ndio mjinga.
Ulitakiwa uache namba yako ya simu ili akirudi awasiliane na wewe, huo ni wizi.Weekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani
Ulete mrejesho baada ya mwakaWeee jamaaa unachekesha. Hivi unaamini hayo maujinga kweli yapo
"Kamari"mkuu bahati haiji mara mbili, weka bei kijana asonge mbele.Nakushauri tangaza kuwa umeokota hivyo vitu..utanishukuru baadae .. Au kaache maagizo kwa wahusika wa hiyo sehemu
Ila ww Mzee [emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji482][emoji28][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]Ukilkota kitu poleka polisi ndio sheria inavyosema kitendo cha kuendelea kukaa nacho kinatengeneza nia ya wizi ( implied mens rea) ile methali ya kiswahili ya cha kuokota sii cha kuiba imekosewa na haifai kuwa katika vitabu vya kiada.
Umiliki hauwezi kuwa wako huruhusiwi kukifanyia kitu chochote wala kumpa mtu yoyote kama zawadi au kuuza( NEMO DAT QUOD NON HABET)
Sheria inasema ukiokota kitu chochote cha thamani peleka polisi maelezo yako ya kuokota yataandikwa kwenye kitabu kiitwacho LOSS AND FOUND PROPERTY REGISTER) na utapewa namba ya taarifa ( kibongobongo RB)
Sheria inahitaji kitu hicho kurndelea kuhifadhiwa kwa kipindi fulani cha muda , na baadaye kama mwenye mali hajajitikeza mali hiyo itatangazwa kuuzwa kwa mnada basda ya kutolewa amri ya mahakama. Fedha iliyopatikana mwokotaji atapewa asilimia fulani
Kuna madhara makubwa ya mtu kuokota kitu na kujimilikishia kwani vitu vingi huibiwa na kutupwa au vielelezo mbalimbali vya kesi za mauaji hutupwa. Sasa wewe ukikamatwa nacho na kiliibiwa au kutumika kwenye uhalifu baden of proof (onus probandus) itahamia kwako uonyeshe uhalali wa umiliki wake tofauti na hivyo mahakama itakuchukulia kama wewe ndio uliofanya kosa kama mauaji au wizi ( DOCTRINE OF RESENT POSSESSION)
Nakuunga mkonoHawana shobo za kuvaa vitu expensive wakiwa barani kwetu,usishangae ukakuta hazifiki hata buku.
Iyo moja kushoto ni 1200 iyo ya kulia ni 700 mwisho 650 total 1900..kwa bei ya jumla ni 1500 zote hizo over
Wewe ND mkweliIyo moja kushoto ni 1200 iyo ya kulia ni 700 mwisho 650 total 1900..kwa bei ya jumla ni 1500 zote hizo over
Maisha bado yapo kumbuka hasi na chanya tunazitengeneza wenyewe ...Karma is bitch...!!!!"Kamari"mkuu bahati haiji mara mbili, weka bei kijana asonge mbele.
Ngoja tusubiri.Ulete mrejesho baada ya mwaka
Dola? Tsh? Ksh? Paund?Iyo moja kushoto ni 1200 iyo ya kulia ni 700 mwisho 650 total 1900..kwa bei ya jumla ni 1500 zote hizo over
Buku buku hizo, zirudishe pale pale!Weekend ya jana, wakati nazagaa zagaa mtaani, tulipita sehemu mimi na jamaa yangu kunywa juisi, meza ya pembeni alikuwa amekaa mmama wa kizungu na binti yake. Ilipita dakika chache wakaondoka.
Wakati nasisi tunaondoka chini ya ile meza niliona kipochi kidogo kama cha kuwekea simu zile ndogo, niliinama fasta nikakichukua.
Kwa ndani nilikuta kuna pete tatu, jee zinaweza kuwa na madini fulani?, na nikitaka kuziuza wapi naweza kuzipeleka
Natanguliza shukrani
Mason colorsNgoja tusubiri.
Kwenye jua kidogo zinatoa rangi zisizoeleweka, sijui ni ruby
View attachment 1934615