Naanza kutilia shaka uwezo wa Rais Samia kuongoza Taifa

Black lives matters inaongozwa na vyama vya siasa?
 
Mama kaharibu sana,eti Marekani Uchaguzi ukiisha basi kazi za maendeleo zinaanza,Mikutano hakuna wala maandamano,yalikitokea maandamano bado labda ya umeme tena waandamanaji wanaelekea kule kwa watoa umeme [emoji3][emoji3]

Sijui anadanganywa au yeye ndio hajui?
 
Ametangaza kuwa mtu anayetuhumiwa kwa ugaidi ameshtakiwa!! Hili sio kizuizi kwenye uwekezaji
Kiongozi wa kambi ya upinzani, chama kikubwa cha siasa awe gaidi nchi gani hii!!
Unaiambia dunia nini. Hapa tupate fundisho kuhusu dhana ya ugaidi.
Terrorist/terrorism sio joke
 
maana chadema yote yote yanajifanyaga ni maana sheria nguli au wabobezi
 
Nikweli mama IQ ndogo lkn hawa wapinzani wachumba wa mabeberu, magaidi hawafai hata kuwa viranja wa chekechea kelele zote ni kwa ajili ya matumbo yao
Mabeberu yapi yale yaliyompatia mama chanjo ya bure.
 
Kwani mimi nimesemaje, kumbe Chadema walipongeza mbona huwa mnasema wao kila kitu kupinga.
 

Mbona umerudia ku copy tena? Au hujaona mwanzoni mwa huu uzi?
 
Pale hamna kitu.Binafsi mwanzo nilichanganywa na ushungi pamoja na ile miwani nikajua tumepata bonge la Rais kumbe hajui hata anaongoza nini.

Rais muongo muongo sana na hajui hata nchini kwake nini kinaendelea.
Inshort jana Salim Kikeke amechezea per diem ya BBC kwa kwenda kutalii Ikulu na kupigiwa soga zisizo na kichwa wala miguu.
 
This analysis fits in Republic of JF, or people of very low intellect. Analyse Samia through the following question to convince us that what you feel is cosmic understanding of how she is.

To get true analysis of a leader see through into mind-set, heart-set and skill-set.


Expand on how your analysis on leadership style influences her leadership philosophy in the mind-set section. Explain specific leadership models and leaders who have influenced her.


Explain what you think a good leader is and if you are one by your own definition. Explain whether her leadership philosophy allows her to be successful at her job's current duties.


Explain your feelings on leadership in the heart-set section.


Explain what role feelings have in leadership based on her leadership style.


Explain her personality and values and how these have impacted her leadership.


Explain how her actions, philosophy and feelings reflect her leadership style in the skill-set section. Account for any differences you see.


Explain how her leadership actions have or have not been helping her fulfill her job's duties.

I hope you shall soon come with that serious analysis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…