Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

Huyu alipoongea tuu kwamba zaidi ya 75% ya Wanawake kwenye sensa ni wanawake ndio nimempuuza rasmi.

By the way misukosuko ya kiutawala ni kawaida na pia,utapeli mtupu.
 
Utapeli mtupu.

Eti kwenye sensa 75% ni wanawake na 25% ni wanaume ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Numbers never lies. Population yetu ni 60+ million. Kwa hiyo Chawa wanataka kutuambia hii Tanzania ina wanawake milioni 45+? Kwa hiyo wanaume ni 15- milioni???Nonsense!!
 
Numbers never lies. Population yetu ni 60+ million. Kwa hiyo Chawa wanataka kutuambia hii Tanzania ina wanawake milioni 45+? Kwa hiyo wanaume ni 15- milioni???Nonsense!!
Matokeo ya sensa yapo wazi wazi ratio ni 50:49 na huko Manyara wanaume ndio wengi kushinda wanawake.

Na Watoto wa kiume daily wanazaliwa Kwa Wingi tuu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Feel free to be fooled. Mungu kama hataki mtu fulani afanye jambo fulani hana utamaduni wa kumtumia mtu mwingine kupeleka maneno ya vitisho kwa mlengwa.

Hizi ni siku za mwisho; manabii wa uongo wapo wa kumwaga!
Usiwe kama Kasuku wa kukariri maneno. Biblia iliposema siku za mwisho kutakuwa na Manabii wa Uongo sio wote. Manabii wa Kweli wa Mungu bado wapo wa kumwaga pia!!!
 
Labda Mbowe apeleke kwa Maaskofu halafu maaakofu wamwite Lissu kumpa maelekezo
 
Habari za Kapernaumu. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Galilaya ulifika pia?
 
Maana Kila kitu utabiri๐Ÿ™Œ
Ila lema alisema ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanakuwa wanajua mipango yote itakayofanyika hata ikibidi muda mwingine wanashiriki kutimiza aliyosema. Halafu baadae anajiita nabii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nakubaliana na wewe 100%. Hii ni michezo ya kitaalam๐Ÿ˜„
 
Wanakuwa wanajua mipango yote itakayofanyika hata ikibidi muda mwingine wanashiriki kutimiza aliyosema. Halafu baadae anajiita nabii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wengine siwaamini
Ila wengine ni kweli wako vzr
 
wakati ndio nilikua naanza kujipata tu kimaisha,
siku moja dada yangu aliniomba nimsindikize kanisani kwa nabii ambae sikumfahamu kabla na mpka leo sijui jina lake, ila kwa sura ndiyo huyo muungwana hapo kwa video. Kwakua nilikua na usafiri wangu na dada alikua na watoto, basi nikakubali kumsindikiza mpaka hapo kanisani somewhere mbezi beach hapo katikati, na siku hiyo nami nikawa sehemua ya waamini wa kanisa hilo.

katikati ya ibada,
huyo muungwana ambae ni nabii wenu si akaniita mbele ya waamini kanisani!
akaanza mbwembwe sasa, mmemuona huyu kijana alikua na pesa mingi sana kabla ila sasa hivi amevaa vizuri amependeza na kitambi chake, unaweza ukadhani ana pesa na cheo kikubwa sana serikalini lakini kumbe hana hata kazi wala hata elfu2mfukoni

nikajisemea moyoni nimuwashe makofi huyu muhuni au nimuache kwanza anipandishe mori vizuri ili nimpige uppercut chembe la kidevu, nimkalishe chini ya madhabahu yake halafu niseme mapepo yalinipanda? maana anazingua sana.

akaendeleza ngonjera zake ya unabii uchwara,
eti ooh kuna mwananmke maji ya kunde jina lake linaanza na herufi A huyo hakufai na ndie anakula peasa zako. Wakati huo sina hata demu. Nikajisemea tena moyoni huyu fala kweli anawarubuni watu kindezi sana.

Akaja kuni kera zaidi.
alipokuja kuanza kunichonganisha na members wa familia yangu, kwamba eti hali ngumu ya kiuchumi niliyoku nayo japo si kweli, eti anaeitatiza kichawi ni mtu mwenye jina linaloanza na herufi J ndani ya ukoo wangu, eti na kuna mwingine jina lake linaanza na hefufi C, n.k
Nikajisemea moyoni this is nonsense.

apeleke utabiri wake kwa wajinga wengine huko but not me and other Tanzanians with constitutional mandate and responsibilities ya kuwatumikia na kuwaletea waTanzania maendeleo kijamii, kisiasa na kiuchumi.
 
Upo sahihi. Halafu wanajificha kwenye kivuli cha maono. Nonsense kabisa.
Ni kweli anayeoneshwa maono ya hivi na Mungu huwa anatumwa kwenda kwa mhusika directly kama kumuonya n.k
Kuna namna huwa tunapangwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ