Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Shetani ni sifa ambayo hata wewe unaweza kuivaa,ukimshawishi mtu kufanya uovu,kuiba,dhulumu,ua,unakua shetani, shetani si kiumbe maalum,aliyemrubuni Adam na mkewe alikua ibilisi,ni miongoni mwa majini.. viumbe vyote viliumbwa na Mungu
Okay, Sasa yule shetani aliyekua anapiga story na Mungu kwenye kisa cha Ayubu ni nani?

Na yule aliyefungiwa kuzimu na Yesu ni yupi?

Km viumbe vyote viliumbwa na Mungu kwahiyo Mungu anaumba vitu ambavyo anajua fika vitamsumbua??

Basi Mungu kazidiwa akili na binadamu, maana binadamu anaweza kutengeneza bomu na akajua jinsi ya kulitegua lakini Mungu anashindwa kumdhibiti shetani aliyemuumba!!!

Hii ajabu sana!! 😹😹
 
Mungu hasumbuki wala hachoki wala hashindwi na kiumbe chochote, maelezo yangu hayatokani na biblia
 
Kwani kuna mtu ambae alikua hajui hilo?? Zile ni historia za watu wazamani, ni sawa uandike kitabu ukiite GADDAFI ndani uweke mistari yako gadaffi 2 mstari wa nne..mtume huyu alishushwa na mungu kuwapa wana wa libya chakula,malazi,na elimu bure, kutokana na dhambi za wadami wakamuua.
Miaka elfu 1 ijayo hutawaambia watu kitu kuhusu nabii gadafi
 
mhh by de way tunda unalojua sio ilo unalowaza ni kumtoa pazia ya akil ili azini then nyoka ni ibiris ambae alikuja kwa umbo ilo hauo mengine mie simo
 
Mungu hasumbuki wala hachoki wala hashindwi na kiumbe chochote, maelezo yangu hayatokani na biblia
Km hashindwi kwanini asimuue shetani ambaye kwa maelezo ya biblia ndiye adui yake mkubwa..!! Nikuulize swali dogo.

Hivi wewe unaweza kuwafungia watoto wako chumba kimoja na simba kisha ukawaacha wajiokoe wenyewe ili kuwapima km wana nguvu?? Ni kweli utakua unawapenda hao watoto wako?
 
Thibitisha kwamba upepo upo
Upepo upo unasikika ukivuma na kujulikana upo.

Upepo upo unapimika.

In Meteorology, Tunapima upepo kila siku kwa kutumia vifaa kama Anemometer na Windvane.

Hii ni kwa sababu upepo upo na unathibitishika upo.
 
We ndio umemsikia leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…