Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Ndivyo asili ilivyo na ndivyo tulivyo ikuta.Kama huridhiki na majibu ninayotoa, huwenda wewe unamajibu ambayo yanaweza kuwa sahihi pia...
Kwanini kuna jamii nyingi za binadamu wenye rangi tofauti?
Ndio maana mkuu nakusisitiza Nenda Shule upya.Ndivyo asili ilivyo na ndivyo tulivyo ikuta.
Lakini ukisema kwamba kuna binadamu wa kwanza kwa binadamu wote, lazima ueleze je huyo binadamu wa kwanza alikuwa mweupe au mweusi?
Hakuna mtu anayechagua kuzaliwa wala kufa..!!Umepewa uzima na mauti unachagua mauti kosa ni lako
Kama huko nyuma binadamu hawakuwepo kabisa, walikuwa wapi?Kuna mabadiliko ambayo yanatokea kwa namna ambayo huwezi kugundua. Binadamu wa kwanza alitokana na Bacteria, mabadiliko yaliyochukua mamilioni ya miaka mpaka leo kuna binadamu.
Nani aliyekwambia mabadiliko yamekoma, mabadiliko bado yanaendelea huwenda miaka laki 5 ijayo kukawa na binadamu wa rangi hizo.
Kama unaona binadamu wanaongezeka basi ni uthibitisho kuwa hapo nyuma walikuwa wachache, na ukirudi nyuma zaidi huwenda hawakuwepo kabisa.
Mwamba ata kuwa anajito,, ,bea ni vile basi tu😁😁Au tumshauri suguye awagusishe Pindo Kwa elfu 50 tu🤗🤗🤗🤗🤗
Wewe umeshindwa kuthibitisha na kueleza chanzo cha binadamu wa kwanza ni kipi, unasema nirudi shule.Ndio maana mkuu nakusisitiza Nenda Shule upya.
Kama mpaka nyoka alikuwa anaongea na binadamu basi sina neno.Aliongea kwa lugha ya kiebrania mkuu.
Vitabu vya dini viliteketezwa vingi sana hasa wakati wa utawala wa Mfalme Nero Roma ya kale.Sawa...
Amesema, kuna kipindi Roman Empire iliificha Biblia (ni kweli tena wengine waliuawa).
Swali langu kwako mleta mada ni kwanini Roma iliificha Biblia?
Unamskia anasema ukioneshwa "mistari original", reference yake ni ipi?
Nina maswali mengi ya kukuliza tafadhali uanze kunijibu hilo kwanza...
Huko nyuma Kuku wa nyama/mayai hawakuwepo kabisa unahisi walikuwa wapi?Kama huko nyuma binadamu hawakuwepo kabisa, walikuwa wapi?
Nimekwambia binadamu wa kwanza alitokana na Bacteria.Wewe hiyo shule yako yenyewe, imeshindwa kukueleza huyo binadamu wa kwanza alitoka wapi?
Kuku wa mayai wametengenezwa kupitia sayansi na teknolojia.Huko nyuma Kuku wa nyama/mayai hawakuwepo kabisa unahisi walikuwa wapi?
Cc DR Mambo Jambo binadamu wa kwanza alitokana na bacteria?Nimekwambia binadamu wa kwanza alitokana na Bacteria.
Au unataka Biological Mechanism?
Hujajibu swaliKuku wa mayai wametengenezwa kupitia sayansi na teknolojia.
Hawakuwepo.Hujajibu swali
Kabla hawajatengenezwa walikuwa wapi?
Kama huko nyuma binadamu hawakuwepo kabisa, walikuwa wapi?
Hili ni jibu la swali lako hapo juu.Hawakuwepo
Subiri atakuja kukupa elimu. Bacteria ndio spicies yenye umri Mkubwa zaidi Duniani hizi spicies zingine ukiwajumuisha binadamu ni spicie mpya.