Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Paroko hawezi kusikiliza maswali ya chekechea kama hayo! Maswali ya kipumbavu kama hayo labda akamwulize mchungaji wa TAG! Jitu zima mpaka leo halijui nyoka alitoka wapi?
 
Baki unavyoamini , sina muda ya kufanya mijadala na wahuni kama wewe ambao hamji kwa adabu.
 
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Bilicheka
Juma the Lorry Driver
Kibanga ampiga Mkoloni
Nchi ya Wagagagigikoko
Na vingine vingi
Simulizi
Simulizi
Simulizi
 
Sababu namba 1 alimtomba mtoto wa miaka 9 yeye akiwa na miaka 53
 
Siyo sababu adriz kakacha uzi na kukimbia ...nitakuja kuchambua yote vipi zile hoja 3 zihusike na hizo 6 za chini.
Uislamu umetuhusia tuachane na watu wasio na staha katika mazungumzo mfano wanaokuja kishari , matusi ,dhihaka nk baada ya kukaa mezani kistaarabu na kujadili kwa hoja .

Siwezi kujadiliana na mtu ambaye anayekuja kidharau mfano baada ya kusema Yesu anasema "Mpigwa nyundo Msalabani "
 
Hapa tunaongelea uhalali wa huo uislamu kwa watu wenye kutumia akili kupima batili na haki ...wewe tayari umeegamia uislamu hivyo uliuchunguza uislamu ukiwa na majibu tayari mkononi..nikama chaguzi za Tanzania serikali ya ccm inakuwa na washindi tayari nje ya kura
 
Tafuta ramani ya Tanzania utaona sehemu inayoitwa Dar es Salaam, acha swali la kijinga
Litakuwa lakijinga ndiyo, je huko dar es salaam kunasehem inaitwa dar es salaam? Kama haipo kwanin wew unatafta sehemu iliyo andikwa bibilia ndan ya bibilia?.
 
We should not believe God to avoid such mentioned factors but as reason why should we depend on science and technology.
Aren't we depend/use technology becoz we are to avoid to die, sickness or poverty?. If yes can science &, technology set as free from such probloms?.
And if no is a science & tech such useless??
 
Hao wazungu unaowasema wao wenyewe walitawaliwa na walikuwa na mawazo kama yako , kuwa biblia ni maneno ya kutungwa kutoka hekaya za Wayahudi, ikatumiwa na Dola ya Rumi kuwatawala. Pindi nchi hizo zilipojipatua uhuru kutoka Roman Empire zingine zilipiga marufuku biblia lakini baada ya maasi kuzidi, zikarejesha biblia. Rejea mapinduzi ya ufaransa (French revolution). Kwahiyo usinasibishe biblia na uzungu, bali uyahudi, kupitia TAIFA teule la Israel(ingawa huo uteule unakosa mantiki Kwa wao kutokuwa wafuasi wa ukiristo, na wala huyo Yesu Kristo haheshimiwi huko Israel tofauti na jinsi anvyo sujudiwa na wakristo wa Ulaya, Amerika na Afrika.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…