Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Walirudi lini?Wanasayansi waliosema hakuna MUNGU wote walirudi kwenye kutokuwa na ushahidi kuwa yupo na si ushahidi kwamba hayupo.
Hakuna ushahidi kwa kitu ambacho hakipo.Sijui kama unaelewa tofauti?
Jukumu la kuthibitisha uwepo wa Mungu ni la kwenu nyie mlioanzisha habari za uwepo wa huyo Mungu.Kwa kingereza ili uelewe,
Scientists follow the "no evidence for God" argument rather than attempting to "disprove God."
kwambaaaa, kwa sasa sayansi haina uthibitisho wa uwepo wa MUNGU nje ya imani. Ukitaka kufahamu uwepo wa MUNGU utaupata ndani ya imani na si nje ya imani.
Kwa kingereza ili uelewe
science does not currently provide evidence for the existence of God only, faith can.
1 Tim 4:1-2 SUVUkweli ni kwamba, katika nyakati hizi, hakuna nabii wala mtume. Ukimsikia mhubiri yeyote anajiita nabii au mtume, tambue kuwa huyo ni tapeli.
Uthibitisho upo kwenye imani, Wewe unautaka wapi nje ya imani?Walirudi lini?
Leta ushahidi na uthibitisho hapa sio maneno yako tu.
Kuna ushahidi gani kwa kitu ambacho hakipo?
Hakuna ushahidi kwa kitu ambacho hakipo.
Kisichokuwepo hakina ushahidi.
Vitu vilivyopo ndio vyenye ushahidi.
Sasa wewe toa ushahidi wa kwamba Mungu yupo.
Ukishindwa kutoa ushahidi wa kwamba Mungu yupo, Ni kwamba wewe ni muongo na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
Jukumu la kuthibitisha uwepo wa Mungu ni la kwenu nyie mlioanzisha habari za uwepo wa huyo Mungu.
Sasa wewe unataka sayansi ikuthibitishie madai yako uliyo yaanzisha wewe?
Thibitisha madai yako.
Thibitisha Mungu yupo.
Acha kuleta maneno ya kuzunguka zunguka. Mara Kikapanda kikashuka.
Imani inaweza kuwa hata ya uongo.Uthibitisho upo kwenye imani, Wewe unautaka wapi nje ya imani?
Kama hakuna uthibitisho kisayansi kuwa Mungu yupo, Ni kwamba hayupo.Wanasayansi hawasemi hakuna MUNGU, wanasema hakuna uthibitisho kisayansi kuwa yupo sababu wanasayansi wana akili, wanajua maana ya kusema hakuna.
Hata Stephen Hawking ana akili na alisema hakuna Mungu straightforward.Rejea kwa watu wenye akili kama Bertrand Russell na concept yake ya The "Russell’s Teapot"
Nikumbushe BossHapa JF...wewe kichwa chako kitskuwa cha kuku kama umesahau nikukumbushe
Uongo wa imani unauthibitisha vipi? Utatumia vigezo vya kiimani kuuthibitisha au visivyo vya kiimani?Imani inaweza kuwa hata ya uongo.
Unaweza kuamini hata uongo.
Sasa tutahakikisha vipi hicho unacho kiamini ni ukweli na si uongo?
Tutahakikisha vipi na unathibitishaje habari na imani za huyo Mungu ni ukweli na si uongo?
Hapa unakatika, unajipinga mwenyewe tulipoongelea suala la seli hai nyeupe ulikiri kutokuthibitisha kwa sayansi haimaanishi kuwa hakuna uwepo.Kama hakuna uthibitisho kisayansi kuwa Mungu yupo, Ni kwamba hayupo.
Uthibitisho wa MUNGU upo kwenye imani, wewe unataka uthibitishiwe kisayansi, Tuliza akili boss.Sasa wewe unakataa kwamba Mungu hayupo halafu umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo..!!
Sasa unataka nini?
Steve hakuleta uthibitisho kuwa hakuna MUNGU, alileta uthibitisho kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuwa yupo MUNGU. Kasome tena makala zakeStephen Hawking ni mwanasayansi mkubwa na alisema hakuna MUNGU.
ACHA UONGO, HATA SISI TUNAMSOMA.Directly bila kona kona.
Wewe unataka kuzunguka zunguka tu hapa.
Hata Stephen Hawking ana akili na alisema hakuna Mungu straightforward.
Wewe umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, unataka kuzunguka zunguka tu.
Hoja ilikuwa kuwa yesu atakapo kuja kila jicho litamwona na kila goti litapigwa wewe ukaja kuniambia kuwa biblia inajichanganya hapo kuhusu kumwona yesuNikumbushe Boss
Kama huyo Mungu wako ni imani tu basi hayupo katika uhalisia.Uongo wa imani unauthibitisha vipi? Utatumia vigezo vya kiimani kuuthibitisha au visivyo vya kiimani?
Kama ni nje ya imani unaibua maswali mengine, wapi? Kisayansi?
Kama ni sayansi ni hoja ya kijinga sababu sayansi inamisingi tofauti kabisa na maswala ya imani.
Hapa unakatika, unajipinga mwenyewe tulipoongelea suala la seli hai nyeupe ulikiri kutokuthibitisha kwa sayansi haimaanishi kuwa hakuna uwepo.
Kwa ufupi, ukosefu wa uthibitisho haumaanishi hakuna uwepo, uwepo wa uthibitisho kuwa hakuna uwepo inamaanisha hakuna uwepo.
Huitaji hata kwenda VETA kujua hili.
Uthibitisho wa MUNGU upo kwenye imani, wewe unataka uthibitishiwe kisayansi, Tuliza akili boss.
Wewe unakataa kwamba Mungu hayupo.Steve hakuleta uthibitisho kuwa hakuna MUNGU, alileta uthibitisho kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuwa yupo MUNGU. Kasome tena makala zake
ACHA UONGO, HATA SISI TUNAMSOMA.
Stephen Hawking kwenye kitabu chake cha The grand design kaeleza vizuri kabisa.
He did not prove that God does not exist he provided scientific explanations for the origin of the universe that do not require a deity.
Hawking’s arguments zinaelezea kuwa hakuna ushahidi unaoonyesha MUNGU anahusika kwenye uumbaji na hakuna umuhimu wa kumjadili sababu hakuna ushahidi kisayansi kuwa yupo.
Sasa wewe ni mwanasiasa unayehitimisha kutokuwepo kwa MUNGU ukijaribu kuhalalisha imani yako kupitia sayansi, sayansi inakukataa maana wanasayansi hawaprovide prove za kiimani, sayansi ina limitations.
Hakuna mwanasayansi aliyekuja na prove kuwa hakuna MUNGU. Wooote wanakuja na argument ya hakuna ushahidi wa uwepo wa MUNGU kisayansi ila wewe unageuza geuza maneno yao kisiasa ili uthibitishiwe MUNGU yupo nje ya imani. Tuliza akili boss.
Unajichanganya.Kama huyo Mungu wako ni imani tu basi hayupo katika uhalisia.
Huyo MUNGU ni mawazo yenu uchwara ya kufikirika tu.
Huyo MUNGU ni imaginations just an illusion.
Wewe unakataa kwamba Mungu hayupo.
Halafu umeshindwa kuthibitisha yupo..!!
Sasa unataka nini?
Twende taratibu, Uhalisia ni nini?Nakwambia hivi huyo MUNGU ni mawazo yako ya kufikirika tu.
Huyo MUNGU hayupo katika uhalisia bali katika mawazo yenu ya kufikirika tu.
MUNGU hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo kwenye uhalisia.
Nataka uthibitisho wa uwepo wa MUNGU, Yeye kama yeye.Unajichanganya.
Kuna imani na sayansi. Hakuna katikati.
Unataka uthibitisho kwenye imani au kwenye sayansi?
Uhalisia ni uwepo wa kitu.Twende taratibu, Uhalisia ni nini?
Uthibitisho katika angle ya kisayansi au kiimani?Nataka uthibitisho wa uwepo wa MUNGU, Yeye kama yeye.
Mthibitishe huyo Mungu, yeye kama yeye.
Na eleza yupoje.
Usitumie vitu vilivyopo ulimwenguni kuvihusisha na huyo Mungu wako.
Uwepo wa kitu ni ule uliopo kisayansi pekee?Uhalisia ni uwepo wa kitu.
Kwenye Sayansi hakuna Mungu.Uthibitisho katika angle ya kisayansi au kiimani?
Misingi ya uhalisia.Hakuna general, jumla jumla. Kuna misingi ya uthibitisho. Either kisayansi au kiimani. Wewe unataka tumjadili MUNGU kwa kutumia misingi ipi?
Uwepo wa kitu ni ule uliopo kwenye uhalisia.Uwepo wa kitu ni ule uliopo kisayansi pekee?
Kwenye sayansi hakuna uthibitisho kwamba kuna MUNGU. Usipotoshe boss.Kwenye Sayansi hakuna Mungu.
Wewe unaingiza imani za wanasayansi kuhusu Mungu kwenye sayansi.
Misingi ya uhalisia.
Mthibitishe huyo MUNGU kiuhalisia.
Uwepo wa kitu ni ule uliopo kwenye uhalisia.
Mthibitishe huyo MUNGU yeye kama yeye katika uhalisia.
Kama kwenye sayansi hakuna uthibitisho kwamba kuna Mungu, Si ni kwamba hayupo?Kwenye sayansi hakuna uthibitisho kwamba kuna MUNGU. Usipotoshe boss.
Tunataka uhalisia sio sayansi.Hahaha, unajua kuna jambo moja unalifuta kichwani kwako. Kila tukio linafanyika kwa misingi either ya kiimani au kisayansi, hakuna nje ya hapo
mfano:
Mtu akipandisha majini, pale imani imehusika si sayansi.
Mtu akiwasha kiberiti pale sayansi imetumika si imani.
Hakuna ulimwengu wa hapo katikati kwamba si sayansi wala si imani.
Kutaka kujadili masuala ya kiimani kisayansi ni kupoteza muda na ujinga. Chagua upande mjadala ubase wapi.
MUNGU anathibitika kiimani si kisayansi. Kama upo tayari tuingie kwenye imani kumthibitisha sawa, ila kama unataka uthibitishiwe kisayansi ni ujinga tunajadili.
🤣🤣Mi Niko mbioni🙌Nikipata nafasi ntahama hii nchi😁😁🙌
Omba Toba kwa MunguKuna ukweli mkubwa sana ndani yake mkuu. Biblia ni uwongo ulioletwa na wazungu, kupitia kwa wamisionari ili uwalaze waafrika waendelee kuibiwa rasilimali na wazungu.
Ngoja nipate hela kama za Mo nihame zangu mie🤣🤣Mi Niko mbioni🙌
Ila inabidi tuendelee kueneza injili bwanq
Barikiwa1 Tim 4:1-2 SUV
[1] Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; [2] kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
English Translation
1 Timothy 4:1-2 EASY
[1] God's Spirit tells us clearly that, in later times, some people will stop believing the message about Jesus Christ. Instead, they will listen to bad spirits who want people to believe wrong things. They will listen to the message that comes from demons. [2] The people who teach those false things are hypocrites. They no longer understand that what they teach is wrong.
Umesoma na kuelewa?Kwahiyo wewe humuamini mtume Muddy? Kumbe yale maneno yake ni ya kizushi? Sasa mbona masheikh wanaendelea kuyatumia kwenye mawaidha misikitini??