Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Quran imeboresha tu ndio maana ningetaka kuwa na dini hata ya kuzugia tu ningekuwa mwislamu
Ndio Qur'an imekuja kurekebisha yaliyopita baada ya muda mwingi kupita watu walioshika mafundisho ya kweli ya dini za kale kupitia mateso makali ya watawala , kuuwawa nk na kusababisha mafundisho ya kweli ya Mitume waliopita na Manabii kupotea na kupotoshwa mengine.

Qu'ran ikaja kusahihisha yaliyo ya sawa na kupinga upotoshaji .
 
Hao manabii ni vitengo vya ccm ni project ya serikali na ccm yake ....ndiyo maana wanafanya utapeli na serikali pumbavu ya mafisiemu inawachekea.
 
Hakuna mkristo mpumbafu ambaye hajui kama siku za mwisho watakuja watu wanaoitwa manabii wa uongo

Hawa manabii wa uongo wanathibitisha ukweli wa MUNGU na NENO lake ambalo ni biblia takatifu

Biblia umeweka wazi kabisa kuwa watakuja manabii wa uongo na kweli wamekuja
 
Kwa imani wewe amini tu
 
Kwa imani wewe amini tu
Sawa .

Mimi sio Muislamu wa kuzaliwa tu bali ninetumia muda wangu kuusoma kikamilifu na kuCompare na dini nyingine kwa mizani ya kielimu na observations nikafikia hitimisho kuwa bila shaka Uislamu ni haki na ni dini pekee ya ukweli.

Kuhusu uwepo wa Mungu , nilitumimia muda mwingi kuwaza Zamani sana toka niko primary nalo nilituliza akili na kuchunguza pamoja na kufuatilia kwa umakini Kisha nikafikia hitimisho uwepo wa Mwenyezi Mungu ni suala lisilo na shaka hata kidogo ndani yake .
 
Most Nyoka sio shetani .pili nyoka Hana uhusiano na shetani .tatu God himself created serpent and described it has a most cunning animal .

Cain alioa dada Ake nimetumia kigezo cha no account for birth death of female in bible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…