The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja..
View: https://youtu.be/ZkpUq7GLWNA?si=Xpc7IPhxvY9y4_Mw
Kwa ufupi sana anasema:
1. Ameoneshwa na Mungu kuwa, tazama akamuona Tundu Lissu amevalishwa silaha kuu (mabomu) 7 yaliyo tayari kulipuka kupitia kwake na kuuangusha na kuusambaratisha kabisa utawala wa CCM na Samia....
2. Samia, CCM na serikali yake watajaribu kupambana naye lakini hawataweza kuzuia matukio hayo kwa sababu ni silaha za Mungu mwenyewe na kaamua kumtumia Tundu Lissu kutimiza kusudi lake la kuiangusha/kuhitimisha utawala wa CCM ktk nchi hii ya Tanganyika...
3. Anaendelea kusema, huyu Tundu Lissu ameandaliwa vya kutosha ndani na nje ya nchi ili kutimiza kusudi hili takatifu la Mungu mwenyewe kama ambavyo Mussa alivyoandaliwa vya kutosha kuwakomboa wana wa Israel toka ktk utumwa wa mateso kule Misri. Kwa hiyo mkono wa Mungu kupitia kwa mtumishi wake huyu, utapiga haya matukio haya yenye utalaamu wa hali ya juu ambayo CCM hamtaweza kuyakabili wala kuyazuia..
4. Watajaribu kuzuia tukio hili, litazuka jingine upande huu likiwa na nguvu zaidi kuliko lile walilozuia mwanzo. Matukio haya hayazuiliki kwa kuwa yana nguvu ya uungu ndani yake na Mama Samia hana nguvu ya kuzuia hayo kwa njia za kibinadamu (polisi au Jeshi ama maneno ya propaganda zozote zile)...
5. Hata ikitokea CCM mkijaribu kumuua Tundu Lissu na mkafanikiwa, jopo lake litatekeleza ajenda hii kwa ukamilifu hadi kusudi la Mungu la kuingamiza na kuifuta kabisa CCM na utawala wake Tanganyika limetimia na kufanikiwa kwa 100%. BWANA Mungu wa Majeshi asema...
SULUHISHO
➡ Ni mtu mwenye uungu ndani yake pekee ndiye atakayezuia haya kwa kufanya mediation. Samia Suluhu Hassan hana uungu ndani yake. Nabii huyu anasema, mtu mwenye uungu ambaye Mungu keshamchagua kuikoa Tanganyika kutoka kwa hayawani wa CCM ni Mch na Askofu Josephat Gwajima. Huyu ndiye anapaswa kuchukua nafasi ya Samia Suluhu Hassan na kwa kuwa utaratibu uliopo Rais lazima apitie kwenye chama cha siasa, Mungu atamfanya Rais kupitia chama chochote...!
➡ Huyu Josephat Gwajima alipo hana chama. Yuko CCM huko kupita tu kwa sababu chama cha siasa ndio utaratibu wa kuingilia kutwaa madaraka ya kisiasa ktk nchi. Mungu ataghairi kuendelea na mapigo haya iwapo Askofu na Mch. Josephat Gwajima atatumia jukwaa la CCM kuiongoza Tanganyika akiwa Rais wake...
➡ CCM wakiwa na moyo mgumu kama wa Farao, atakwenda CHADEMA na atapata jukwaa na Mungu atamwezesha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
➡ Nao CHADEMA wakimkataa, atakwenda chama kingine. Na ikitokea hivi, Mungu asema, huo ndio utakuwa mwisho wa vyama hivi vikubwa viwili vya CHADEMA na CCM na hicho chama atakachokwenda na kupokelewa, kitakuwa chama tawala na kikuu sana na kutoka hapo atakuwa Rais wa nchi hii...
➡ CCM mnaonywa kuacha mara moja kumsikiliza Jakaya Kikwete, ushauri na mipango yake kwa kuwa itawaangaamiza na kuwapoteza kabisa...
➡ CCM achaneni na Samia Suluhu Hassan kujaribu kumlazimisha kuwa Rais wa nchi hii kwa kuwa HAWEZI KUWA maana Mungu alishamkataa, na watu (wananchi) hawamataki....
➡ Wanaomtaka Bi Samia Suluhu Hassan ni wale wataka vyeo tu na wezi wanaotaka kuendelea kutumia udhaifu wake kuibia nchi...
➡ Mkimlazimisha, basi atakwenda kuaibika na kufedheheka sana na pia fedheha na aibu hiyo itaambatana na kumwaga damu za watu, kuua watu sana...
Tazama na sikiliza mwenyewe hiyo video clip hadi mwisho...