Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

Mungu wa hawa jamaa amekuwa cheap sana! Ana manabii uchwara Kila Kona!

Sasa huu ni unabii gani? Ushuzi mtupu!
 
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...

Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja..

View: https://youtu.be/ZkpUq7GLWNA?si=Xpc7IPhxvY9y4_Mw

Kwa ufupi sana anasema:

1. Ameoneshwa na Mungu kuwa, ameona Tundu Lissu amevalishwa mabomu 7 yatakayolipuliwa kupitia kwake na kuuangusha kabisa utawala wa CCM na Samia....

2. Samia, CCM na serikali yake watajaribu kupambana naye lakini hawataweza kuzuia milipuko hiyo kwa sababu mabomu hayo ni silaha za Mungu mwenyewe kuiangusha CCM na uatwala wake...

3. Huyu Tundu Lissu amejiandaa vya kutosha ndani na nje ya nchi kuwezesha kupiga haya matukio haya yenye utalaamu wa hali ya juu ambayo CCM hamtaweza kuyakabili..

4. Watazuia tukio hili, litazuka jingine upande huu likiwa na nguvu zaidi kuliko lile walilozuia mwanzo. Matukio haya Tundu Lissu hayazuiliki kwa kuwa yana nguvu ya uungu ndani yake na Mama Samia hana nguvu ya kuzuia hayo kwa njia za kibinadamu (polisi au Jeshi lolote)...

5. Hata ikitokea CCM mkijaribu kumuua Tundu Lissu na mkafanikiwa, jopo lake litatekeleza ajenda hii kwa ukamilifu hadi kusudi la Mungu la kuingamiza na kuifuta CCM na utawala wake Tanganyika limefanikiwa...

SULUHISHO
➡ Ni mtu pekee mwenye uungu ndani yake ndiye atakayezuia haya. Samia Suluhu Hassan hana uungu ndani yake. Mtu mwenye uungu ni Mch. Josephat Gwajima. Huyu ndiye anapaswa kuchukua nafasi ya Samia Suluhu Hassan sasa na sio kesho...

➡ Huyu Josephat Gwajima, hana chama. Yuko CCM huko kupita tu. Mkimkataa, atakwenda CHADEMA na akitua huko na nguvu za ki - Mungu alizonazo, CCM mmekwisha...

➡ CHADEMA nao wakimkataa, atakwenda chama kingine. Na huku nyuma CHADEMA na CCM ndiyo itakuwa mwisho waenu...

➡ CCM acheni kumsikiliza Jakaya Kikwete, ushauri na mipango yake utawaangaamiza na kuwapoteza kabisa...

➡ CCM achaneni na Samia Suluhu Hassan kujaribu kumlazimisha kuwa Rais wa nchi hii kwa kuwa HAWEZI KUWA maana Mungu alishamkataa, na watu (wananchi) hawamataki....

➡ Wanaomtaka Bi Samia Suluhu Hassan ni wale wataka vyeo tu na wezi wanaotaka kuendelea kutumia udhaifu wake kuibia nchi...

➡ Mkimlazimisha, basi atakwenda kuaibika na kufedheheka sana na pia fedheha na aibu hiyo itaambatana na kumwaga damu za watu, kuua watu sana...

Tazama na sikiliza mwenyewe hiyo video clip hadi mwisho...

Kazi Ipo....
 
Hilo li tapeli tu
 
Unabii wako Mtumishi ulikuwa unaeleweka vizuri lakini ulipoingiza issue ya Gwajima na kwamba mkimuua Lisu…….hapo umebugi step;-
1. Gwajima watu wanamuona kama msanii vile!

2. Issue ya kuuawa Tundu Lisu haitawezekana tena kwasababu ya eti siasa.
 
Hata magumashi mlisema hivyo hivyo, kumbuka, uhai wetu sio mali yetu
Kila mtu atakufa ukiwemo wewe. Uwe na malengo au usiwe na malengo lazima ufe siku ikifika. Kwa hiyo jua tu kuwa akijaliwa mama ni Rais hadi 2030. Ikiwapendeza wabunge tunaweza fanya kitu kwenye katiba akaendelea hadi 2040
 
Hutoboi. Take this notice with a bold font
 
Takataka za mbeba magunia ya mkaa soko la tandale kabla hajajifanya nabii, takataka kabisa
Uko gizani, huoni na wala huelewi...

Jumbe za Mungu kwa wanadamu mara nyingi huja na kupitia kwa watu wasiojulikana na wasio na hadhi yoyote ktk jamii. Aweza kumtumia hata mbeba mkaa sokoni Tandale..

Mungu nyakati zile aliwatumia wakoma kuikoa nchi ya Samaria toka kwa jeshi la Washami. Wakoma hawa walikuwa watu waliotengwa na kudharauliwa, lakini aliwatumia hao hao kuokoa taifa...!

Na kwa sababu hii, wengi hubeza na kudharau lakini mwisho wao huwa na kifo na mauti..

Rejea unabii wa Mungu kwa kumtumia Nuhu na gharika ya maji...

Rejea unabii wa Musa kwa Farao wa Misri ya kale. Farao alikuwa na dharau na kiburi ambacho hakuna mtawala mwingine amewahi kuwa nacho ktk historia ya dunia hii...

Lakini mwisho wake ni kifo na mauti...

Hatupaswi kuutweza unabii bali tuupime ktk mizani ya Neno la Mungu tujue ni wa kweli au uongo...

Nimeupima. Huu ni ujumbe wa kweli kabisa...!!!
 
Uko gizani, huoni na wala huelewi...

Jumbe za Mungu kwa wanadamu mara nyingi huja na kupitia kwa watu wasiojulikana na wasio na hadhi yoyote ktk jamii..

Na kwa sababu hii, wengi hubeza na kudharau lakini mwisho wao huwa na kifo na mauti..

Rejea unabii wa Mungu kwa kumtumia Nuhu na gharika ya maji...

Rejea unabii wa Musa kwa Farao wa Misri ya kale. Farao alikuwa na dharau na kiburi ambacho hakuna mtawala mwingine amewahi kuwa nacho ktk historia ya dunia hii...

Lakini mwisho wake ni kifo na mauti...

Hatupaswi kuutweza unabii bali tuupime ktk mizani ya Neno la Mungu tujue ni wa kweli au uongo...

Nimeupima. Huu ni ujumbe wa kweli kabisa...!!!
Umeandika takataka kabisa, takataka sana
 
Mzee, kama kweli Mungu ndiye kamchagua huyu, wewe ni nani kuukataa mpango wa Mungu..?

By the way, sio mimi asemaye haya. Tumia nafsi ya tatu kutoa maoni yako...

Mimi hapa ni mjumbe tu niliyeleta maneno haya toka kwa ndugu huyu ili kwa pamoja tujadiliane kupima ukweli na usahihi wa wa unabii wake kwa kuuweka ktk mizani ya maandiko matakatifu yaani Neno la Mungu..

Wewe unasemaje..?

Kwangu mimi, sina shaka naye kabisa. Hivyo ndivyo ilivyo na ishara zote zinaonesha hivyo...

Alitabiri kuabika na kuanguka kwa Freeman Mbowe, ikawa hivyo...

Hata hili sina shaka nalo kabisa..
Duh 🙄 !
 
Uko gizani, huoni na wala huelewi...

Jumbe za Mungu kwa wanadamu mara nyingi huja na kupitia kwa watu wasiojulikana na wasio na hadhi yoyote ktk jamii. Aweza kumtumia hata mbeba mkaa sokoni Tandale..

Mungu nyakati zile aliwatumia wakoma kuikoa nchi ya Samaria toka kwa jeshi la Washami. Wakoma hawa walikuwa watu waliotengwa na kudharauliwa, lakini aliwatumia hao hao kuokoa taifa...!

Na kwa sababu hii, wengi hubeza na kudharau lakini mwisho wao huwa na kifo na mauti..

Rejea unabii wa Mungu kwa kumtumia Nuhu na gharika ya maji...

Rejea unabii wa Musa kwa Farao wa Misri ya kale. Farao alikuwa na dharau na kiburi ambacho hakuna mtawala mwingine amewahi kuwa nacho ktk historia ya dunia hii...

Lakini mwisho wake ni kifo na mauti...

Hatupaswi kuutweza unabii bali tuupime ktk mizani ya Neno la Mungu tujue ni wa kweli au uongo...

Nimeupima. Huu ni ujumbe wa kweli kabisa...!!!
Wengine waliokolewa kwenye gharika la Lyatonga Mrema mwaka 1995 lakini baadaye wakamdharau aliyewaokoa na kumuona kama si lolote na wala si chochote !!
Karma is for real !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Acheni kumsingizia Mungu na ukristo mwingi kupitiliza😎
Mungu yupo na anasema kupitia kwa watumishi wake hawahawa wanadamu. Na ktk hili MUNGU AMESEMA...!

Shetani naye yupo na anatumia wanadamu kama wewe ambao majina yao tu Magonjwa Mtambuka yanasadifu kuwa ni wafuasi wake na hujiinua kupitia kwao kupinga mipango ya Mungu...

Lakini unajua nini?

Shetani alishashindwa, hajawahi kushinda wala kufanikiwa na hata sasaAMESHINDWA na wewe na wenzako MMESHINDWA...!!
 
Rais ajaye ni mwanaume mkristo
huyo bibi na wanaomdanganya
wanajipotezea muda wao bure
 
Back
Top Bottom