Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo huyo wa kono la baunsaGwajima huyu huyu anayefufua watu!?
Usanii tu huu, acheni kumuingiza Mungu kweny usanii wenuMzee, kama kweli Mungu ndiye kamchagua huyu, wewe ni nani kuukataa mpango wa Mungu..?
By the way, sio mimi asemaye haya. Tumia nafsi ya tatu kutoa maoni yako...
Mimi hapa ni mjumbe tu niliyeleta maneno haya toka kwa ndugu huyu ili kwa pamoja tujadiliane kupima ukweli na usahihi wa wa unabii wake kwa kuuweka ktk mizani ya maandiko matakatifu yaani Neno la Mungu..
Wewe unasemaje..?
Kwangu mimi, sina shaka naye kabisa. Hivyo ndivyo ilivyo na ishara zote zinaonesha hivyo...
Alitabiri kuabika na kuanguka kwa Freeman Mbowe, ikawa hivyo...
Hata hili sina shaka nalo kabisa..
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja..
View: https://youtu.be/ZkpUq7GLWNA?si=Xpc7IPhxvY9y4_Mw
Kwa ufupi sana anasema:
1. Ameoneshwa na Mungu kuwa, ameona Tundu Lissu amevalishwa mabomu 7 yatakayolipuliwa kupitia kwake na kuuangusha kabisa utawala wa CCM na Samia....
2. Samia, CCM na serikali yake watajaribu kupambana naye lakini hawataweza kuzuia milipuko hiyo kwa sababu mabomu hayo ni silaha za Mungu mwenyewe kuiangusha CCM na uatwala wake...
3. Huyu Tundu Lissu amejiandaa vya kutosha ndani na nje ya nchi kuwezesha kupiga haya matukio haya yenye utalaamu wa hali ya juu ambayo CCM hamtaweza kuyakabili..
4. Watazuia tukio hili, litazuka jingine upande huu likiwa na nguvu zaidi kuliko lile walilozuia mwanzo. Matukio haya Tundu Lissu hayazuiliki kwa kuwa yana nguvu ya uungu ndani yake na Mama Samia hana nguvu ya kuzuia hayo kwa njia za kibinadamu (polisi au Jeshi lolote)...
5. Hata ikitokea CCM mkijaribu kumuua Tundu Lissu na mkafanikiwa, jopo lake litatekeleza ajenda hii kwa ukamilifu hadi kusudi la Mungu la kuingamiza na kuifuta CCM na utawala wake Tanganyika limefanikiwa...
SULUHISHO
➡ Ni mtu pekee mwenye uungu ndani yake ndiye atakayezuia haya. Samia Suluhu Hassan hana uungu ndani yake. Mtu mwenye uungu ni Mch. Josephat Gwajima. Huyu ndiye anapaswa kuchukua nafasi ya Samia Suluhu Hassan sasa na sio kesho...
➡ Huyu Josephat Gwajima, hana chama. Yuko CCM huko kupita tu. Mkimkataa, atakwenda CHADEMA na akitua huko na nguvu za ki - Mungu alizonazo, CCM mmekwisha...
➡ CHADEMA nao wakimkataa, atakwenda chama kingine. Na huku nyuma CHADEMA na CCM ndiyo itakuwa mwisho waenu...
➡ CCM acheni kumsikiliza Jakaya Kikwete, ushauri na mipango yake utawaangaamiza na kuwapoteza kabisa...
➡ CCM achaneni na Samia Suluhu Hassan kujaribu kumlazimisha kuwa Rais wa nchi hii kwa kuwa HAWEZI KUWA maana Mungu alishamkataa, na watu (wananchi) hawamataki....
➡ Wanaomtaka Bi Samia Suluhu Hassan ni wale wataka vyeo tu na wezi wanaotaka kuendelea kutumia udhaifu wake kuibia nchi...
➡ Mkimlazimisha, basi atakwenda kuaibika na kufedheheka sana na pia fedheha na aibu hiyo itaambatana na kumwaga damu za watu, kuua watu sana...
Tazama na sikiliza mwenyewe hiyo video clip hadi mwisho...

Lissu alikukose wapi? 😂😂 sikutegemea abadani ungekua timu FAM!Yeye na Lissu wote wanaugua kichaa!
Kwa hiyo mwanaCCM Gwajima anafaa kuliko Lissu?Asante Mtu wa Mungu
Mama Samia ni rais hadi 2030.MamaSamia2025 anza kufungasha virago, safari ya Kizimkazi inakuhusu
Kwa hiyo mwanaCCM Gwajima anafaa kuliko Lissu?
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja..
View: https://youtu.be/ZkpUq7GLWNA?si=Xpc7IPhxvY9y4_Mw
Kwa ufupi sana anasema:
1. Ameoneshwa na Mungu kuwa, ameona Tundu Lissu amevalishwa mabomu 7 yatakayolipuliwa kupitia kwake na kuuangusha kabisa utawala wa CCM na Samia....
2. Samia, CCM na serikali yake watajaribu kupambana naye lakini hawataweza kuzuia milipuko hiyo kwa sababu mabomu hayo ni silaha za Mungu mwenyewe kuiangusha CCM na uatwala wake...
3. Huyu Tundu Lissu amejiandaa vya kutosha ndani na nje ya nchi kuwezesha kupiga haya matukio haya yenye utalaamu wa hali ya juu ambayo CCM hamtaweza kuyakabili..
4. Watazuia tukio hili, litazuka jingine upande huu likiwa na nguvu zaidi kuliko lile walilozuia mwanzo. Matukio haya Tundu Lissu hayazuiliki kwa kuwa yana nguvu ya uungu ndani yake na Mama Samia hana nguvu ya kuzuia hayo kwa njia za kibinadamu (polisi au Jeshi lolote)...
5. Hata ikitokea CCM mkijaribu kumuua Tundu Lissu na mkafanikiwa, jopo lake litatekeleza ajenda hii kwa ukamilifu hadi kusudi la Mungu la kuingamiza na kuifuta CCM na utawala wake Tanganyika limefanikiwa...
SULUHISHO
➡ Ni mtu pekee mwenye uungu ndani yake ndiye atakayezuia haya. Samia Suluhu Hassan hana uungu ndani yake. Mtu mwenye uungu ni Mch. Josephat Gwajima. Huyu ndiye anapaswa kuchukua nafasi ya Samia Suluhu Hassan sasa na sio kesho...
➡ Huyu Josephat Gwajima, hana chama. Yuko CCM huko kupita tu. Mkimkataa, atakwenda CHADEMA na akitua huko na nguvu za ki - Mungu alizonazo, CCM mmekwisha...
➡ CHADEMA nao wakimkataa, atakwenda chama kingine. Na huku nyuma CHADEMA na CCM ndiyo itakuwa mwisho waenu...
➡ CCM acheni kumsikiliza Jakaya Kikwete, ushauri na mipango yake utawaangaamiza na kuwapoteza kabisa...
➡ CCM achaneni na Samia Suluhu Hassan kujaribu kumlazimisha kuwa Rais wa nchi hii kwa kuwa HAWEZI KUWA maana Mungu alishamkataa, na watu (wananchi) hawamataki....
➡ Wanaomtaka Bi Samia Suluhu Hassan ni wale wataka vyeo tu na wezi wanaotaka kuendelea kutumia udhaifu wake kuibia nchi...
➡ Mkimlazimisha, basi atakwenda kuaibika na kufedheheka sana na pia fedheha na aibu hiyo itaambatana na kumwaga damu za watu, kuua watu sana...
Tazama na sikiliza mwenyewe hiyo video clip hadi mwisho...
Ile sauti inayosema "nileteeni Gwajima" sasa inaita kutokea mbinguni, wana-ccm na watanzania wanatakiwa kuitii.Hapo kwenye Josephat Gwajima rudia mara mbili, weka RANGI ya Bluu,pigia mstari, bold Kisha ongeza Size ya maneno.
Ubarikiwe 🙏