Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

Duh

Unabii wa kimwili zaidi
Eti mtu wa Kiroho ni Gwajima, aaaaaah. Uhu gwajima aliye wadanganya watu kuwa zinasaidia atawapeleka wapiga kura wake marekani. Afadhala ata ungeniambia Geordev.
Acheni kutengeneza michongo yenu kisha kumsingizia Mungu. Yaani ktk watu wote wa kiroho TZ Mungu ndiyo kamuona Gwajima. Ahaaaaa, Do salalee.
 
Samia, CCM na serikali yake watajaribu kupambana naye lakini hawataweza kuzuia milipuko hiyo kwa sababu mabomu hayo ni silaha za Mungu mwenyewe kuiangusha CCM na uatwala wake...

Pamoja na yote, mtumishi amekiri kwamba ATASHINDA ingawa ushindi hautampa amani.
 
ETI MZEE WA TRENI NA MAREKANI - Gwajima!!🤮🤣🤣🤣
 
Yapigwe mafisiemu,Yapigwe! Yapigwe mafisiemu,Yapigwe!yapigwe manduli fisiemu,Yapigwe. Mungu yapige haya matapeli na mafisadi yanayosema wanawake wazalishwe na waume zao kwa visu na mikasi. Yameiba yameshiba fedha za walipa Kodi Hadi yanaropoka tu. Hayaheshimu hata watu yanayowalipa mishahara. Piga yateketee kabisa
 
Vyovyote iwavyo ni kuwa Samia hatakuwa Rais. Akilazimisha, ataleta maafa lakini hatakuwa Rais, na ataishia na historia mbaya katika maisha yake.

Akiingiwa na hekima, atakuwa amehitimisha utawala wa CCM, na ataheshimika na kila mtu. Hekima kwake ni kuwaacha wananchi wamchague wanayemtaka kwa amani.
 
Bonge la debe.
Hongera mchungaji 😂😂😂
 
Nabii huyo mjanja sana, ameshaona Sasa ndo muda muafaka wa kuzipiga MBs za nyumbu wa lissu.......na atazipiga kweli kweli🤣🤣🤣🤣🤣

Nabii anajua vema kabisa kuwa nchi hii ni takatifu na ndo maana, kwa maamuzi yake, alimpitisha Samia kuwa Raisi Ili utakatifu wa nchi yetu uendelee. Alipofariki JPM wapo waliotaka iwe vinginevyo lkn ilishindikana kabisa na chaguo la Mungu (Samia) likasimama. Kwa wenye akili inaanzia mbali kidogo, tangu JPM anamteua mara mbili kuwa makamu ilikuwa ni mipango ya neno lake kutimia.

Nabii, kwakuwa mpango wako ni kupiga MBs za nyumbu, basi Mimi nasema zipige tu. Jumapili hii zungumzia tena hilo uendelee kujipigia.
 
Vyoyote iwavyo....

Vyovyote wafanyavyo....

Vyovyote wafikiriavyo....

Bi Samia Suluhu Hassan (Raia wa nchi ya kigeni iitwayo Zanzibar) hawezi kuwa Rais tena wa Tanganyika kwa muhula ujao 2025 - 2030

HUYU BIBI, MWANAMKE HAWEZI KUWA, HATAWEZA KUWA RAIS WA TANGANYIKA TENA HATA KAMA MAJESHI YA KUZIMU YOTE YATATOKA KUMSAIDIA KUWA...!!!

MBINGU IMESEMA...
 
Njaa njaa njaa
 
Nasubiri pressure ya Tlaatlaah na wenzie....
 
MamaSamia2025 anza kufungasha virago, safari ya Kizimkazi inakuhusu
 
Hivi hii kitu unabii mbona mnauchukulia kama ulevi tu.
Yaani mtu akilala kilabuni pombe kichwani akiwaambia yeye ni Nabii basi nyie mnaabudu tu
 
Huyo Mungu wenu bila shaka ni mchongo tu
 
Huyo mtabiri atatekwa na wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…