Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

Maneno ya mungu yanataka heshima sana...........usirete mchezo na neno la mungu kama huna usafi wa kuliendo .......zingatia neno la mungu ni mungu usirete utani
 
Usanii tu huu, acheni kumuingiza Mungu kweny usanii wenu
 
Ndoto na ufwaaala mwingine we acha tu.🥸🥸🥸
 
Huu ni UPUMBAVU wa hali ya juu. Ni uungu gani alionao mch Gwajima?? Tapeli mmoja anayatumia biblia kudanganya walokole wajinga.??

Kwanza ni mzinifu tu huyo hayawani
 
Wewe na huyo anaehubiri hapo. Wote ni wapumbavu gwajima hajawahi Ata kufanya kazi serikalini rather than yeye ni ameingia kwenye siasa 2025 now five years in the game
Rember Tanzania Ina mihimili mitatu

👉Serikali
👉Mahakama
👉Bunge (kigezo cha kuwa mbunge hakitoshi kuwa rais)
 
Gwajima ni Muongo sana.
Hapo ndo umepoteza point
 
Hapo kwenye Josephat Gwajima rudia mara mbili, weka RANGI ya Bluu,pigia mstari, bold Kisha ongeza Size ya maneno.

Ubarikiwe 🙏
Ile sauti inayosema "nileteeni Gwajima" sasa inaita kutokea mbinguni, wana-ccm na watanzania wanatakiwa kuitii.
 
Mpumbavu kabisa huyu!


“Mtu mwenye uungu ni Mch. Josephat Gwajima. Huyu ndiye anapaswa kuchukua nafasi ya Samia Suluhu Hassan sasa na sio kesho”
 
Unaacha kuhubiri neno la Mungu unaanza kuwa mtabiri wa mambo ya kisiasa. Unatafutia umaarufu madhabahuni uhuni mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…