Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

Mungu wa hawa jamaa amekuwa cheap sana! Ana manabii uchwara Kila Kona!

Sasa huu ni unabii gani? Ushuzi mtupu!
 
Kazi Ipo....
 
Hilo li tapeli tu
 
Unabii wako Mtumishi ulikuwa unaeleweka vizuri lakini ulipoingiza issue ya Gwajima na kwamba mkimuua Lisu…….hapo umebugi step;-
1. Gwajima watu wanamuona kama msanii vile!

2. Issue ya kuuawa Tundu Lisu haitawezekana tena kwasababu ya eti siasa.
 
Hata magumashi mlisema hivyo hivyo, kumbuka, uhai wetu sio mali yetu
Kila mtu atakufa ukiwemo wewe. Uwe na malengo au usiwe na malengo lazima ufe siku ikifika. Kwa hiyo jua tu kuwa akijaliwa mama ni Rais hadi 2030. Ikiwapendeza wabunge tunaweza fanya kitu kwenye katiba akaendelea hadi 2040
 
Kila mtu atakufa ukiwemo wewe. Uwe na malengo au usiwe na malengo lazima ufe siku ikifika. Kwa hiyo jua tu kuwa akijaliwa mama ni Rais hadi 2030. Ikiwapendeza wabunge tunaweza fanya kitu kwenye katiba akaendelea hadi 2040
Hutoboi. Take this notice with a bold font
 
Takataka za mbeba magunia ya mkaa soko la tandale kabla hajajifanya nabii, takataka kabisa
Uko gizani, huoni na wala huelewi...

Jumbe za Mungu kwa wanadamu mara nyingi huja na kupitia kwa watu wasiojulikana na wasio na hadhi yoyote ktk jamii. Aweza kumtumia hata mbeba mkaa sokoni Tandale..

Mungu nyakati zile aliwatumia wakoma kuikoa nchi ya Samaria toka kwa jeshi la Washami. Wakoma hawa walikuwa watu waliotengwa na kudharauliwa, lakini aliwatumia hao hao kuokoa taifa...!

Na kwa sababu hii, wengi hubeza na kudharau lakini mwisho wao huwa na kifo na mauti..

Rejea unabii wa Mungu kwa kumtumia Nuhu na gharika ya maji...

Rejea unabii wa Musa kwa Farao wa Misri ya kale. Farao alikuwa na dharau na kiburi ambacho hakuna mtawala mwingine amewahi kuwa nacho ktk historia ya dunia hii...

Lakini mwisho wake ni kifo na mauti...

Hatupaswi kuutweza unabii bali tuupime ktk mizani ya Neno la Mungu tujue ni wa kweli au uongo...

Nimeupima. Huu ni ujumbe wa kweli kabisa...!!!
 
Umeandika takataka kabisa, takataka sana
 
Duh 🙄 !
 
Wengine waliokolewa kwenye gharika la Lyatonga Mrema mwaka 1995 lakini baadaye wakamdharau aliyewaokoa na kumuona kama si lolote na wala si chochote !!
Karma is for real !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Acheni kumsingizia Mungu na ukristo mwingi kupitiliza😎
Mungu yupo na anasema kupitia kwa watumishi wake hawahawa wanadamu. Na ktk hili MUNGU AMESEMA...!

Shetani naye yupo na anatumia wanadamu kama wewe ambao majina yao tu Magonjwa Mtambuka yanasadifu kuwa ni wafuasi wake na hujiinua kupitia kwao kupinga mipango ya Mungu...

Lakini unajua nini?

Shetani alishashindwa, hajawahi kushinda wala kufanikiwa na hata sasaAMESHINDWA na wewe na wenzako MMESHINDWA...!!
 
Rais ajaye ni mwanaume mkristo
huyo bibi na wanaomdanganya
wanajipotezea muda wao bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…