Wanzanzibar hawana lawama kwenye hili wacha tu watawale, tuliwatafuta wenyewe. Nyerere aliwaleta wakaja, tulieni hapohapo. Hata katiba iliyomleta Rais Samia waliiandika watanganyika wenyewe kwa mikono yao. Wazanzibar tuliwachelewesha mambo mengi sana kwa kuwa kwenye muungano.Mama Samia Mitano tena
Na akimaliza aje Hussein Mwinyi na akimaliza Mwinyi aje Makame Mbarawa na amalizie Othman Masoud
Bado tupo awamu ya tano ndugu, hao wote waliopo madarakani waliingia madarakani kwa wizi wa kura ktk uchaguzi wa 2020, ukitaka kuifanya hii serikali itofautiane na ya JPM subiri uchaguzi ufanyike.Kama awamu ni ileile mbona sasa hakuna wananchi wanaopotea? Mbona watu wasiojulikana wamepotea ghafla, mbona wanaharakati wa kujitegemea hawapo? Mbona wafanyabiashara hawanyang'anywi hela zao na TRA, mbona watumishi wamelipwa mafao yao, mbona rais hagawi hela ovyo mitaani?
Hebu tukumbushe namna alivyonyang'anya watu hayo mashamba yao. Na namna alivyowazuia watu wasiweze kwenda kudai haki yao kwenye vyombo vya sheria.Mwingira ni mwizi kama wezi wengine.Mcha Mungu hawezi kudhulumu ardhi ya watu kwa utajiri wake tena kwa dhulma ya wajinga.Kama anafikiri ana haki na mashamba arudi kuyachukua aone muziki wake.Biblia inakataza kuhukumu na kusingizia uongo.
Ungesema mwaka 2020 kuwa mama atakuwa Rais 2021 tungekuamini. Sasa unabii umeuanza Leo kwa sababu ya kumfurahisha.Ingia barabarani uandamane.
Samia ni Rais.
Na Mbowe na Lissu hawatakuwa rais wa Tanzania mpaka WANAKUFA.
Huo ndio UKWELI MCHUNGU hutaki JIUE.
Ni wewe tu ndo humtaki, Mimi mtu wa bara ila namtaka na nasema atake asitake tutamuongezea muda atawale mileleWatu wa bara wote
Lazima tukubali, ustaarabu Zanzibar uliingia zamani sana kuliko Tanganyika ya kanda ya Ziwa na kati. Ndio maana hadi leo kuna wanaouana kwa uchawi wa macho mekundu.Aisee umeongea point kubwa, bora tutawaliwe na wazanzibar, hii mitanganyika mingi ni miuaji na mijizi
Wewe Ni kichaaHuyu bibi acheni kumdanganya hakuna mtu wa bara anayemtaka wala kumpenda ni kwamba basi watu wamekaa kimya lakini hatumtaki
Ile ilikuwa serikali ya magufuli tu baasi. Wengine walikuwepo tu kwa mujibu wa katiba yetu. Inawezekana Makonda alikuwa na sauti kuliko mama Samia kwenye serikali ile.chief hangaya awe makini sana na hizi sifa za kumpwaga....asisahau nae ni mshiriki wa awamu ya 5
Kuna watu hawana vyoo mpaka leo unafahamu? Je waachwe kwakuwa ni hiari yao kutumia au kuacha kutumia choo?Yaani anasema Ikulu Yuko shetani na anayeongoza Ikulu ni mtoto wa shetani.
Halafu unasema anakubalika?mtamhadaa Hangaya mpaka lini?
Yaani kwa tozo,watu wanakataliwa huduma za matibabu mpaka wachanjwe,halafu unasema anapendwa?
Hizo takwimu za watu wa bara wanaomchukia Samia umezipataje? Yaani ukivimbiwa makande na wanao ndipo mnajiona ndiyo Tanzania bara??Huyu bibi acheni kumdanganya hakuna mtu wa bara anayemtaka wala kumpenda ni kwamba basi watu wamekaa kimya lakini hatumtaki
Nendeni huko kwenu mbona hampataki? Kwani bara hakuna waislamu?Hizo takwimu za watu wa bara wanaomchukia Samia umezipataje? Yaani ukivimbiwa makande na wanao ndipo mnajiona ndiyo Tanzania bara??
Kwa taarifa yako viongozi WAISLAMU wanaleta utulivu wa nchi kuliko Wakristu. Tutegemee makubwa kwa Samia
+ Maza akoWewe Ni kichaa
Hakuna mbara mjinga kama weweNi wewe tu ndo humtaki, Mimi mtu wa bara ila namtaka na nasema atake asitake tutamuongezea muda atawale milele
Wewe umewezaje kumuelewa Mwingira ukashindwa kumuelewa Simbachawene?Madai ya Askofu Jesephat Mwingira wa kanisa la EFATHA aliyoyatoa kwenye sherehe za Christmas aliyatoa sasa baada ya kuwa na Imani na serikali ya mama Samia. Aliona utu, uchaMungu wa dhati na utukufu ndani ya Rais Samia hivyo kuuona wakati wa kuyabwaga yote wakati huu ya moyoni mwake aliyofanyiwa kwenye awamu zilizopita. Hii ni sawa na watoto wanaoshitaki kwa mama yoote waliyofanyiwa na house girl wao wakati mama hayuko nyumbani.
Ni malalamiko ya hope kwa serikali yao ya awamu ya sita. Hii ni kusema kuwa Mama ana kazi kubwa sana ya kuliunganisha taifa kuliko anavyofikiria. Mwingira sio mjinga kwa kiasi hiki anachofikiria Mh. Simbachewene. Mimi ninaiona dhamira safi ndani ya Nabii Mwingira, na wako wengi wenye shida kama ya Mwingira. Asichukuliwe poa au kukegeliwa.
Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeanzia kwa Nabii Mwingira kuelekea kuwatambua wengine wenye malalamiko genuine kama haya. Wasitishwe bali wapewe moyo wayafichue yote.
Tetetetetete utasubiri sn mkuuNa wewe Babati Rudi kwenu Burundi, usijifarague kujifanya wewe ni Mtanzania
Awamu iliyopita ilikuwa ya giza. Hata akina dudubaya walijiita conc master. Sitamani inikute tena awamu ya aina ile.Hizo takwimu za watu wa bara wanaomchukia Samia umezipataje? Yaani ukivimbiwa makande na wanao ndipo mnajiona ndiyo Tanzania bara??
Kwa taarifa yako viongozi WAISLAMU wanaleta utulivu wa nchi kuliko Wakristu. Tutegemee makubwa kwa Samia
Awamu hii ya sita lazima itoe suluhisho la jumla kwakuwa walioumizwa na awamu ya tano ni wengi sana sana sana sana. Fikiria tu mfano wa watumishi woooote wakiwemo polisi hawakuongezewa mshahara kwa miaka 6. Suppliers na makandarasi hawakulipwa fedha zao. Kuna saupplier mmoja aliilisha taasisi ya umma huko Morogoro, hakulipwa hadi akishindwa kulipa ada ya mwanawe chuo kikuu hadi mtoto akakosa mitihani mpaka leo anahangaika na kurudia masomo mwaka mzima.Wewe umewezaje kumuelewa Mwingira ukashindwa kumuelewa Simbachawene?
Iko hivi, Simbachawene amemuelewa Mwingira kama ulivyomuelewa wewe - tofauti ni wewe huna cha kufanya baada ya kumuelewa Mwingira! Ila Simbachawene ameamuru Mwingira ahojiwe kwa undani ili hata yale ambayo hakuweza kuyataja pale Kanisani yajulikane aweze kusaidiwa!
Mbowe na Lissu wameingiaje kwenye hoja hii?????Ingia barabarani uandamane.
Samia ni Rais.
Na Mbowe na Lissu hawatakuwa rais wa Tanzania mpaka WANAKUFA.
Huo ndio UKWELI MCHUNGU hutaki JIUE.