Nachukia sana masikini

Nachukia sana masikini

Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini tafuteni hela msikae kae tu kizembe kizembe umasikini ni laana
Wenye pesa hawana mipasho. Kuku akitaga yai moja kelele kila kona lakini ngombe anakamuliwa lita 20 za maziwa ametulia tuu. Ukiwa na silver mfukoni lazima zipige kelele, ila noti hazina kelele.
 
Katika kitu ambacho ni sikipendi kwenye hii dunia ni umasikini yaani Mimi nikiona masikini naona kama wameniletea mkosi Fulani hivi mtu unakosaje pesa aisee yaani unakuta jitu Zima mindevu kibao halafu halina pesa aisee wakati Mimi mtoto mdogo lakini pesa zipo nyingi sikieni nyie masikini tafuteni hela msikae kae tu kizembe kizembe umasikini ni laana
kwa mm navoona wew ndo ulkua maskn wa kutupwa
alaf hv we unajvunia nn kwa mfano ilhal nyote mnatumia hewa moja kama una ela tengeneza barabara yako au dunia yako il usiwaone maskin
uszalau mtu et ksa uwezo wa feza hana mdogo wang yan wew ndo maskin je usaf anakufanyia tajir mwenzio
shame upon u na kizaz chako chenye.laana.ya zatau kwa wanadam wenzako
tutakuona ukifa kama utazkwa na matajir wrnzako alaf ndo nyie mkifa mnakufa vfo vya ajab sana kwa kuzarau wanadam wenzako
kwa utajir wako umefanikiwa kujenga nyumba angan wew kwa utajiri wako umefkia kutengeneza kampun inayojulkana Tanzania tyuuu.au kenya
Wakina Elon Mars Jeff Bezos na wengne wanapesa ya kuudumia wew kenge na ukoo wako mpaka vlembwe huko vya vizaz vtano mbele na bado hazarau watu
ILA TANZANIA YANI MTU TU AKPATA ATAZARAU KILA MTU hayo mapito mdogo umezan umesmama bas angalia usianguke mana anguko lako litakua farsja kubwa sana kwa maskini ulowasema
 
Usiniandikie gazeti la kulialia Mimi tafuta hela nitakulamba risasi ukirudia tena kuandika gazeti
 
Pesa nyingi unazipata kupitia betting sio?
 
Tafuta hela fukara wewe
 
Acha majivuno wewe, usifikiri kila aliye masikini ni mzembe wengine wanapambana sana na wanafanya juhudi na bidii kubwa kutafuta pesa kuliko hata wewe ila hawapati, na siyo kwamba wamemkosea Mungu ,ni neema tu ya kupata pesa haijawafikia.

Wewe kama unautajiri kama unavyojigamba mshukuru Mungu halafu tumia huo utajiri wako kuwasaidia masikini kuliko kuwachukia

Halafu kwa maneno yako na majigambo inaonekana kichwani kwako kuna kitu hakipo sawa inabidi uachwe tu na akili zako,,, kuna mstari kwenye Biblia unasema.. "Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka. "
 
Back
Top Bottom