Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,684
- 21,117
Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists.
China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani.
Vilevile kwa namna hiyo imeonesha ni namna gani marekani hawako sawa ndani. Hii ni dawa ya kutuliza maumivu kwa muda mchache na siyo dawa ya kutibu tatizo walilonalo ndani huko wamarekani.
Tatizo kubwa lililopo ndani ya marekani na Nancy Pelosi ni kwamba imepitishwa Policy inayoyataka makampuni ya Semiconductors ya marekani kufanya kazi locally. Hapo Intel anapata benefit kubwa.
Upande wa mme wake Nacy Pelosi anaangukia pua na kampuni yake ya NVIDIA ambayo ipo Taiwan. You get the point now. Na unaunganisha dots.
Inasemekana mme wake anauza/ameuza hisa za NVIDIA kwa hasara. Pelosi hana cha kupoteza ni mtu ambaye hana matumaini. Yaani tukose wote style. Anavuruga uhusiano kati ya China na USA kwamba China ndio suppliers wa Rare Earth Metal ambazo ndizo zinatengeneza Semiconductors Huku USA and Taiwan ndio watengenezaji wakubwa wa Semiconductors.
Matokeo yake ni yapi sasa. Mgogoro ukiwepo kati ya USA na China, Semiconductors ndani ya USA zitakuwa expensive makampuni ya USA yaliyopo nje yatapata benefit kutokana na cheap Rare Earth Metal zinazotoka China. Huku kampuni yake ya NVIDIA ikiweka ushindani kwenye makampuni ya INTEL nk.
Hii issue is not direct as you think.
Kwa ziara ya Pelosi anayefaidika ni mchina. Na huenda aliye organize safari hii ni mchina.
NGOJA TUONE.