Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

Sasa yale maneno ya raisi wa china kuwa US isicheze na moto aliyatoa ya nini wakati anajua ubavu wa kutoa moto hana si angekaa kimya tu naona unajifariji sana eti safari ya speaker wa US aorganize mchina? hoja zako zimejaa maneno inasemekana, huenda yaan huna hata uhakika lakini yote hiyo ni kujifariji na aibu ya jana.
Kwani aliposema ASICHEZE NA MOTO unadhani alimaanisha vita? Unavuta bange, au?
 
Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists.

China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani.

Vilevile kwa namna hiyo imeonesha ni namna gani marekani hawako sawa ndani. Hii ni dawa ya kutuliza maumivu kwa muda mchache na siyo dawa ya kutibu tatizo walilonalo ndani huko wamarekani.

Tatizo kubwa lililopo ndani ya marekani na Nancy Pelosi ni kwamba imepitishwa Policy inayoyataka makampuni ya Semiconductors ya marekani kufanya kazi locally. Hapo Intel anapata benefit kubwa.
Upande wa mme wake Nacy Pelosi anaangukia pua na kampuni yake ya NVIDIA ambayo ipo Taiwan. You get the point now. Na unaunganisha dots.

Inasemekana mme wake anauza/ameuza hisa za NVIDIA kwa hasara. Pelosi hana cha kupoteza ni mtu ambaye hana matumaini. Yaani tukose wote style. Anavuruga uhusiano kati ya China na USA kwamba China ndio suppliers wa Rare Earth Metal ambazo ndizo zinatengeneza Semiconductors Huku USA and Taiwan ndio watengenezaji wakubwa wa Semiconductors.

Matokeo yake ni yapi sasa. Mgogoro ukiwepo kati ya USA na China, Semiconductors ndani ya USA zitakuwa expensive makampuni ya USA yaliyopo nje yatapata benefit kutokana na cheap Rare Earth Metal zinazotoka China. Huku kampuni yake ya NVIDIA ikiweka ushindani kwenye makampuni ya INTEL nk.

Hii issue is not direct as you think.
Kwa ziara ya Pelosi anayefaidika ni mchina. Na huenda aliye organize safari hii ni mchina.

NGOJA TUONE.....
Majasusi wa kitanzania hawa bwana. Baada ya China kuaibika wanakuja na majibu raisi
 
Kumbe hii kampuni ya NVIDIA ni ya mume wa NANCY PELOSI... KAZI IPO
 
Ujinga ni kudhani moto unatolewa kwa kupigana na kuua watu.
Soma bandiko langu nililoliandika mpaka mwisho. China ndiyo producer mkuu wa rare earth mineral. Na hizo rare earth mineral kwa sasa ni kama oil and gas. Kwa mtu mwenye akili utajiuliza mara mbilimbili.

Vilevile ndani ya marekani upo mpasuko mkubwa mno.

Kuku wako kwanini umshikie manati. Msubiri aingie bandani utamkamata na kumchinja kirahisi.
1. China kwenye upande wa diplomacy
2. China mpaka leo hii anahaki zote na sababu zote za kubadilisha uongozi ndani ya Taiwani

3. Angeamua kushambulia angeua wachina wenzake which is a stupid idea.
4. Hakuna sehemu china walisema watailipua ndege ya Nancy.

Tusubiri tuweze kuona.....
We jamaa wa ajabu mpasuko gani upo Marekani.
 
wapi nimesema alimaanisha vita mbona unakurupuka sana?
Wapi mie nimesema kwamba umesema hivyo? Mbona unakurupuka sana? Huoni kwamba nilikuuliza swali--kwamba UNADHANI ALIMAANISHA VITA?

Ungejibu NDIYO au HAPANA!

Poor vegeta
 
Kumbe hii kampuni ya NVIDIA ni ya mume wa NANCY PELOSI... KAZI IPO
Mume wa Nancy alikuwa mmiliki wa hisa aroung hisa 25,000 kaziuza at a loss. nvidia wana malaki ya hisa so siyo kweli kuwa eti mume wa Nancy alikuwa mmiliki kwa maana kuwa na na maamuz as mmiliki mwenye hisa nyingi.
 
Mume wa Nancy alikuwa mmiliki wa hisa aroung hisa 25,000 kaziuza at a loss. nvidia wana malaki ya hisa so siyo kweli kuwa eti mume wa Nancy alikuwa mmiliki kwa maana kuwa na naamuz as mmiliki mwenye hisa nyingi.
Hili jambo umeliona wewe pekee, na umeona mbali, nimeshangaa wengine kutokuona hili, kifupi alichozungumza mleta mada bado hakiwezi kuwa mantiki ktk ufahamu wa mtu anayejielewa.
 
Pro china wanatafuta pa kufutia aibu kwa kilichotokea jana, ni hawa hawa walikuwa wakisema china atazuia nancy kwenda taiwan
 
Acha kujifariji baada ya kuona Nancy katua mmeibuka na mengine, kuichukia Marekani kutakusababishia ugonjwa wa moyo.
Maana utakua ukisikia Marekani kawini jambo hili roho inakuuma.
Nancy asingetua pale mngekuja na mengine.
 
Back
Top Bottom