Nakumbuka sana mkuu, wakat wa vita ukraine ilipoanza walisema china atakaa upande wa russia kwa kila kitu.Pro china wanatafuta pa kufutia aibu kwa kilichotokea jana, ni hawa hawa walikuwa wakisema china atazuia nancy kwenda taiwan
Tukawaambia humu hilo haliwezekani sababu china kwa sasa amestaarabika kwa namna flani, na amestaarabika kutokana na westerns kubadili mitazamo yao.
Tukawaambia uchumi wa china upo mikononi wa westerns, kwahiyo hakuna ambalo china anaweza akalifanya kinyume na hao jamaa. Naona kwa sasa wanaanza kuamini.