Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

Kwani aliposema ASICHEZE NA MOTO unadhani alimaanisha vita? Unavuta bange, au?
 
Majasusi wa kitanzania hawa bwana. Baada ya China kuaibika wanakuja na majibu raisi
 
Kumbe hii kampuni ya NVIDIA ni ya mume wa NANCY PELOSI... KAZI IPO
 
We jamaa wa ajabu mpasuko gani upo Marekani.
 
wapi nimesema alimaanisha vita mbona unakurupuka sana?
Wapi mie nimesema kwamba umesema hivyo? Mbona unakurupuka sana? Huoni kwamba nilikuuliza swali--kwamba UNADHANI ALIMAANISHA VITA?

Ungejibu NDIYO au HAPANA!

Poor vegeta
 
Kumbe hii kampuni ya NVIDIA ni ya mume wa NANCY PELOSI... KAZI IPO
Mume wa Nancy alikuwa mmiliki wa hisa aroung hisa 25,000 kaziuza at a loss. nvidia wana malaki ya hisa so siyo kweli kuwa eti mume wa Nancy alikuwa mmiliki kwa maana kuwa na na maamuz as mmiliki mwenye hisa nyingi.
 
Mume wa Nancy alikuwa mmiliki wa hisa aroung hisa 25,000 kaziuza at a loss. nvidia wana malaki ya hisa so siyo kweli kuwa eti mume wa Nancy alikuwa mmiliki kwa maana kuwa na naamuz as mmiliki mwenye hisa nyingi.
Hili jambo umeliona wewe pekee, na umeona mbali, nimeshangaa wengine kutokuona hili, kifupi alichozungumza mleta mada bado hakiwezi kuwa mantiki ktk ufahamu wa mtu anayejielewa.
 
Hili jambo umeliona wewe pekee, na umeona mbali, nimeshangaa wengine kutokuona hili, kifupi alichozungumza mleta mada bado hakiwezi kuwa mantiki ktk ufahamu wa mtu anayejielewa.
Pro china wanatafuta pa kufutia aibu kwa kilichotokea jana, ni hawa hawa walikuwa wakisema china atazuia nancy kwenda taiwan
 
Acha kujifariji baada ya kuona Nancy katua mmeibuka na mengine, kuichukia Marekani kutakusababishia ugonjwa wa moyo.
Maana utakua ukisikia Marekani kawini jambo hili roho inakuuma.
Nancy asingetua pale mngekuja na mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…