Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

Pro china wanatafuta pa kufutia aibu kwa kilichotokea jana, ni hawa hawa walikuwa wakisema china atazuia nancy kwenda taiwan
Nakumbuka sana mkuu, wakat wa vita ukraine ilipoanza walisema china atakaa upande wa russia kwa kila kitu.

Tukawaambia humu hilo haliwezekani sababu china kwa sasa amestaarabika kwa namna flani, na amestaarabika kutokana na westerns kubadili mitazamo yao.

Tukawaambia uchumi wa china upo mikononi wa westerns, kwahiyo hakuna ambalo china anaweza akalifanya kinyume na hao jamaa. Naona kwa sasa wanaanza kuamini.
 
It's too late.. kuhamishia viwanda USA sahii wamechelewa mno mchini kashaibena teknolojia yao kitambo mno

Kingine hizo rare earth metals dunia nzima zinaongoza kupatikana Kongo ambapo majeshi ya umoja wa mataifa wanawalinda wanayo yaiba(nchi za magharibi China ikiwepo na Rwanda pia)

Faida ya kuwepo kwa viwanda vya marekani nchini China ni uwepo wa cheap labour ambao wapo skilled sio kama marekani hao watu kuwalipa ni gharama.. so kama ikitoa viwanda vikahamishiwa Marekani tutakao umia ni sisi watumiaji.. tusishangilie kabisa wote tunajua China anajitahidi but kwenye tech bado anakuwa anategemea leseni nyingi kutoka USA ili aweze kufanya kazi
 
True.. Yani kwa uwekezaji USA aliofanya china leo hii umtoe alishindwa trump watu wakamgomea wataalamu wenyewe wa uchumi wa US wanasema kama iz i phone zingekuwa zinafnyiwa kila kitu apa USA basi bei yake ingekuwa mara3 ya hii tunayoiona sasa nini kingetokea apple wangecollapse faster na kingine soko la china na uwingi wa watu wao siyo mchezo nani ambaye alitaki soko la china elon musk mwenyewe magari yake ya umeme mengi yanatengenezewa china ata west wenyewe hawana cha kumfanya China kiuchumi ameshikilia makampuni yao yote makubwa ana hisa nyingi tu
 
Hata sijakuelewa, yani mnunuzi wa hizo shares sio raia wa USA? Kama ndivyo basi inawezekana NVIDIA ikaleta ushindani.

Yote na yote bado USA haishindwi kuweka vikwazo wa hio NVIDIA kwenye nchi washirika kama 5G transmitters, huawei na ZTE endapo tu ikiwa threat kwa makampuni kama Intel. Kwa maana uzalishaji ukifanyika USA ni wazi bidhaa zake hazitoweza shindana na Chinese kwa bei.

Akipigwa marufuku isiuzwe ulaya na America China itafanya nini?

Halafu kama kiwanda kipo Taiwan China inanufaika vipi?

Kama USA anataka production ziwe locally China itaumia sana.
 
China hana jipya yaweza kuwa ndio anguko lao, kama production ikiwa locally USA itapiga marufuku bidhaa zote za macho madogo, pia China ikiingia vitani itapigwa vita kama sanctions kuwakomesha, wasimame wainuke mshale unawahusu hapo inabidi awe mpole.
 
Kabisa mkuu
 
Punguza kuangalia BBC na CNN.
 
ngonjera za nn wazee mmesha change gia tena
punguzen mahaba mchina hana tofauti na Mandonga maneno meeengi ulingoni chali
 
Mume wa Nancy alikuwa mmiliki wa hisa aroung hisa 25,000 kaziuza at a loss. nvidia wana malaki ya hisa so siyo kweli kuwa eti mume wa Nancy alikuwa mmiliki kwa maana kuwa na na maamuz as mmiliki mwenye hisa nyingi.
okay mkuu
 
M_Russia mPaka Sasa anaua Ndugu zake wa Ukraine. Ni Kama Tanganyika ishambulie Zanzibar Baada ya muungano kuvunjika. Hii ni stupid idea, au sio!?
 
nyie pro nato tufikishieni izi salamu kwa uyu bibi yenu kuwa akitoka apo Taiwani tunamuomba aje atembelee Crimea wananchi wanamkubali sana[emoji847][emoji847] alafu aone kitakachomkuta
Mara hii mnahamisha magoli!? Hapo Crimea uko sehemu gani!? Nipe location. Nasikia siku hizi mnatumia currency ya M_Russia.
 
M_Russia mPaka Sasa anaua Ndugu zake wa Ukraine. Ni Kama Tanganyika ishambulie Zanzibar Baada ya muungano kuvunjika. Hii ni stupid idea, au sio!?
Km ndugu kaamua kuwa upande wa adui unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…