Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

Mnahamisha magoli....china ni mwanasesere wa USA
 
China kachukua hatua za busara sana, nawapongeza China. Marekani ni mchokozi na kwa makusudi anataka na anatumia mbinu yoyote ili China ishuke kiuchumi pale China itakapoingia vita na Taiwan. Kama kawaida Marekani atajiweka pembeni huku akicheka kicheko cha kebehi. Intelijensia ya China imefanya maamuzi sahihi sana ili kulinda uchumi wake.
 
Wale wazandiki waliokuwa wanasema Urusi ni mchokozi dhidi ya Ukraine, hawasemi chochote kuhusiana na mabavu , miguvu na vitidho vya kila namna alivyotumia USA kwa kumpeleka speaker wao huko Taiwani
 
Wale wazandiki waliokuwa wanasema Urusi ni mchokozi dhidi ya Ukraine, hawasemi chochote kuhusiana na mabavu , miguvu na vitidho vya kila namna alivyotumia USA kwa kumpeleka speaker wao huko Taiwani
wataiwan wanajiona wapo huru ndio maana wamempokea mgeni , wenye mamlaka ya Taiwan ni wataiwan wenyew na sio China
 
Kwann wao wajione wana haki dhidi ya Taiwan na Taiwan isiwe na haki dhidi yao ? kama bado huelew bas ntakupia ada Milembe
 
Kumbe hii kampuni ya NVIDIA ni ya mume wa NANCY PELOSI... KAZI IPO
Si ya mme wake hiyo ni listed company, ila mme wake kanunua hisa nyingi kabla mswada wa chip haujapita
 
Nasemaga kila siku humu, China ni wa kawaida mno kwa US. US anaweza akamfanya china chochote atakacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…