Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Nguvu za kiume umeishiwa ndugu pole sana fanya mazoezi kula vizuri piga show mtoto mpaka awe anaridhika unakojoa haraka haraka ili iweje
Mi wangu tofauti kanizid 15 yupo 40 something na moto anapeleka na kakuzidi wewe umri unakwama wapi dogo
Na wanawake kila tunavyokuwa hamu ya ngono inaongezeka zaidi
 
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
Vijana wa hovyo wape namba wampelekeee motroo. Ila piga tizi sana mkuu na acha kula masoda haya mabia kwa sana. Fanya mazoezi huo ndio umri wa kumchakata mtoto mpaka aombe pooh
 
Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
piga mtoto mmoja au wawili uone kama ataendekeza hayo mambo. Atakuwa hana hata muda mpaka wewe mwenyewe utaulizia.
 
32 mwanangu bado sana.
Jana nlikua najaza taarifa wa wateja walikuja kutafuta huduma ya cheti cha kuzaliwa. Mume kazaliwa 1975 mke 1990. Ona gape hilo na bado jamaa anaichakata mbususu.

Mpige mimba mkeo.
 
Toa namba tukusaidie.
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
 
Maneno ya uku mkuu yasikukatishe tamaa.

Kama Mwanamke ulimuoa maana yake mlikula kiapo mbele ya Ndugu zenu na hata M/Mungu analijuwa hilo ndio amewabariki kuishi kwenye ndoa takribani miaka kumi bila tatizo.

Punguza your own expectation kwamba Mkeo ata chepuka kisa umeshindwa purukshani za kitandani.

Mkeo ni mtu mzima anajitambua Kuwa yeye tayari ni mke wa mtu hivo hana budi kujiheshimu na Kuwa muaminifu kwenye ndoa yake.
Miaka 22 ni mtu mzima?
 
Sio masuala ya uwezo, ni masuala ya interest..unajua kuna time ifika hasa hizo age za 32 hiv mara nyingi mtu hujikuta unakua serious sana maisha ile kuyatazama katika picha kubwa saaa mambo madogo madogo ya kijinga (ofcz sex ni upumbavu pumbavu tu) unakua huyap sana nafas ..unaweza lala hata week na mwanamke usiwe na hamu nae kabisaaaaaaa na sio kwamba haisimami nooo ila tu prioritiez za nini kinachukua nafas katika ufaham wa mtu sex inakua mbali huko chin katika list..

Hapo hata utembelewe uchi, humtamani mwanamke

Yan ni kama kujaribu kula mbunye wakat umebamwa na haja kubwa..Haiwezekani
Pole sana aisee,hakuna mwanaume rijali anayeweza kuandika ujinga huu.Eti bze maisha,jitibie haraka sana aisee
 
Maneno ya uku mkuu yasikukatishe tamaa.

Kama Mwanamke ulimuoa maana yake mlikula kiapo mbele ya Ndugu zenu na hata M/Mungu analijuwa hilo ndio amewabariki kuishi kwenye ndoa takribani miaka kumi bila tatizo.

Punguza your own expectation kwamba Mkeo ata chepuka kisa umeshindwa purukshani za kitandani.

Mkeo ni mtu mzima anajitambua Kuwa yeye tayari ni mke wa mtu hivo hana budi kujiheshimu na Kuwa muaminifu kwenye ndoa yake.
Weee. Sio kwa hivi vitoto vya millennium. Moja kwa 100. Naye huyo mmoja asikutane na mashoga zake
 
Back
Top Bottom