Nadhani sasa mtaamini kwamba ule uliyoitwa mradi wa kimkakati, TUMEPIGWA

Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Kuna mawakili wengi wa shetani wanajitahidi kuirudisha Tanzania kwenye zama za giza.
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Binadamu huwa hakosei kwani? Una kumbukumbu ya issues za Kivuko alichinunua akiwa ujenzi? Una kumbukumbu ya Meli ya samaki ya wachina? Kinachotakiwa kuaminiwa ni mfumo na team work haya mengine ni ngonjera tuu na ukweli ni kwamba mwaka huu na mwaka ujao tumeambiwa kutakuwa na ukame mkubwa sana hivyo tusishangae mabwawa ya umeme kupungua sana maji.
 
Kuna kitu kinaandaliwa as kuvuruga nchi na watoto wa viongozi wastaafu waliopewa nafasi kuongoza taasisi za umma.
 
Umepata pa kutolea povu wala hujataka kutumia akili yako kutaka kujua nilichoandika.
 
Eti wazungu wenye dunia yao!

Kwa nini chadema huwa mnajidharau sana?
 
Sasa nani kakwambia miradi mingine isifanyike?

Yani wewe hadi leo bado Magu anakuchapa tu?
 
Nani kasema mradi wa gesi usiendelezwe?

Nioneshe nani kasema hivyo?
 
Wewe ndio msukule!

Nani kasema mradi wa gesi usiendelee?

Hebu nioneshe!

Mleta mada na nae ni msukule vile vile kama ulivyo wewe, maana kichwa cha habari na kilichopo kwenye mada yake ni vitu viwili tofauti
 
Ogopa rohonya kutofurahia uwezo wa wengine huwa ni sumu mkubwa kwa mtu.
Usianzishe mradi wowote kama kutambia wengine maana kila binadamu ana maono yake.
Jambo lolote akitamka Mwanasiasa ujuwe kuna vitu ameviongeza ili kujipatia sifa.
 
Simple, kuwa miaka hii kuna mabadiliko ya hali ya hewa yanayoathiri upatikanaji wa maji through out the year hivyo kutegemea umeme wa maji ni risk, ndio katoa mfano wa Kasim kwenda kukagua Ruvu
Tutegemee umeme upi wa uhakika
 
Mto rufiji umepungua sana kina , hata ukipita pale darajani utaona, halafu sasa hivi shughuli za ufugaji zinaendeleq upande ule , tutegemee the worst.
Nimepita Ijumaa, kwa kweli kina kimepungua sana. Hata ukiingia kule ndani Mloka au Utete,vile vimifereji havipo tena. Nenda Ruwe kule uone vimito vya kuifeed Rufiji vilivyokauka.
 
Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Kwa hiyo Mradi wa "Chattle International Airport" ulikuwa wa faida sana!? Katika kusisitiza Jambo tujitahidi na kuweka akiba ya Maneno
 
Wataalamu wanasema hilo Bwana likijazwa maji full ukaja ukame wenye maji machache kabisa au Hakuna bado litazalisha umeme Makaa 24 kwa miaka 3!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…