MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
Rubbish, poor thinking!Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
SawaRubbish, poor thinking!
SawaAlikuwa anazipata kwa rafiki zake
HakikaMfanyabiasha wa siasa!
Your thinking defies logic! Whatever source of funds you are thinking of, without an iota of evidenceSawa
Mbowe alituzidi akili kwa muda mrefu snKuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Biashara zipi hizo zisotajwa?Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.
Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.
Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.
Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...
Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.
Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.
Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.
Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.
Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...
Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.
[/QUOTE
ππππ
Ni kweli kabisa ,nyumbu wanamwita huyu mzee ni bilionea wakati tax records zake hazionyeshi kama ni mlipa kodi mkubwaRubbish, poor thinking!
Weka ushahidi usiotia shaka hata document moja ya malipo.Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Jamaa alikuwa smart bila lissu kumlipua ingekuwa noma.Mbowe alituzidi akili kwa muda mrefu sn
Kama hauko kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa utakuwaje bilionea ?acha kuhadaa nyumbu wenzio ,mzee Mbowe sio bilionea hata kidogo.Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.
Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.
Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.
Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...
Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.
Siyo sahihi kumtukana lakini inaonekana kuna biashara ilikuwa inafanyika nyuma ya paziaJamaa alikuwa smart bila lissu kumlipua ingekuwa noma.
Eti anatoa mil 700 kugharamia mikutano ya Chadema πππ yule siasa ndo zimempatia utajiri hana biashara yoyote mpumbavu yule.
Ndiyo maana Mrema na Kigaila waliumia sn kuacha duka laoMbowe hiyo Chadema lilikua ni duka lake la jumla jumla kama yale maduka ya Wachina huko Beijing..