Fufua Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Dec 11, 2024
- 223
- 469
Nyumbu walikuwa wamelala usingizi wa pono bila lissu kuwaamsha ingekuwa noma.Ni kweli kabisa ,nyumbu wanamwita huyu mzee ni bilionea wakati tax records zake hazionyeshi kama ni mlipa kodi mkubwa
Huyu mzee ameharibu future ya vijana wengi sana hapa nchini aiseeJamaa alikuwa smart bila lissu kumlipua ingekuwa noma.
Eti anatoa mil 700 kugharamia mikutano ya Chadema 😁😁😁 yule siasa ndo zimempatia utajiri hana biashara yoyote mpumbavu yule.
Yani duniani kuna wajinga aisee ila hawa nyumbu ni zaidi.Nyumbu walikuwa wamelala usingizi wa pono bila lissu kuwaamsha ingekuwa noma.
Lazima waumie na ukiiba ipo siku utastukiwa tu tena kwenye haya maduka ambayo na watu wanamwaga damu ni hatari sana lazima aumie na huyo mwingine alichukua duka la urithi kwa kutumia sheria lazima apate tabu maana lilikua sio lengo la Watawala yeye kuchukua duka la familia kisheria.Ndiyo maana Mrema na Kigaila waliumia sn kuacha duka lao
Kama hauko kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa utakuwaje bilionea ?acha kuhadaa nyumbu wenzio ,mzee Mbowe sio bilionea hata kidogo.
Alikuwa Ana-fake struggle, vijana wameuliwa, kuteswa , kufungwa kisa Chadema huku yeye akitajirika kupitia Chadema .Huyu mzee ameharibu future ya vijana wengi sana hapa nchini aisee
Mbowe ni Dalali mkuu wa Siasa, biashara ya G55 kwenda Chaumaccm ni yakeKuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Mrema ni wa kuonea huruma sana aisee.Suwa najua kama kuna wachagga wajinga wa kiwango cha Mrema.Lema ni mjinga ila ila hiyu Mrema ni zaidi aisee.Ndiyo maana Mrema na Kigaila waliumia sn kuacha duka lao
Biashara ambazo hazina majina.2021 mbowe alikua anadaiwa Kodi billion mbili. Sasa unajua mtu anaedaiwa Kodi billion mbili anakua na mali kiasi gani ?
Aibu kubwa snLazima waumie na ukiiba ipo siku utastukiwa tu tena kwenye haya maduka ambayo na watu wanamwaga damu ni hatari sana lazima aumie na huyo mwingine alichukua duka la urithi kwa kutumia sheria lazima apate tabu maana lilikua sio lengo la Watawala yeye kuchukua duka la familia kisheria.
Malipo ni hapa hapa duniani ,naamini kabisa kizazi cha huyu mzee ni lazima kitalipia madhambia ya baba yao.Alikuwa Ana-fake struggle, vijana wameuliwa, kuteswa , kufungwa kisa Chadema huku yeye akitajirika kupitia Chadema .
CCM wanafurahi sana wamepumzika. CDM wameacha kupambana na CCM vita yao kuu sasa ni Mbowe & CHAUMA.Mbowe alituzidi akili kwa muda mrefu sn
Watu kaskazini asilimia kubwa huwa hawana akili kuanzia Mlema Lyatonga , James Mbatia , Mbowe , Mrema wa chaumma n.kMrema ni wa kuonea huruma sana aisee.Suwa najua kama kuna wachagga wajinga wa kiwango cha Mrema.Lema ni mjinga ila ila hiyu Mrema ni zaidi aisee.
Acha upumbavu wa kikabilaMrema ni wa kuonea huruma sana aisee.Suwa najua kama kuna wachagga wajinga wa kiwango cha Mrema.Lema ni mjinga ila ila hiyu Mrema ni zaidi aisee.
Kuna mjinger flani anaitwa johnthebaptist aliwahi kusema kuna siku tutagindua kuwa Mbowe ni ccmKuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Braza K Mapovu ametengeneza nyumbu wengi waropokaji. Wanafyatua uzushi tu na matusi. Mbowe aliyewaongoza kwa mafanikio makubwa leo mnamtendea hivi kwa maagizo toka Nairobi?Nyumbu walikuwa wamelala usingizi wa pono bila lissu kuwaamsha ingekuwa noma.
Tulia wewe UWTCCM wanafurahi sana wamepumzika. CDM wameacha kupambana na CCM vita yao kuu sasa ni Mbowe & CHAUMA.
Heche & Lema wamefanikiwa kukiondoa chama katika malengo yake.
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Huyu shetani kuna vitu huwa anaongea vya ukweli snKuna mjinger flani anaitwa [B]johnthebaptist[/B] aliwahi kusema kuna siku tutagindua kuwa Mbowe ni ccm
Wewe utakuwa ni mnufaika wa biashara haramu ya ulanguzi wa kisiasa na lazima upo Chaumaccm chama chenu cha kutakatisha pesa kwa njia haramu za kishetaniRubbish, poor thinking!