Wataalam na ma HR amo humu nadhani watakuja kukupatia ushauriHabari za wakati huu Wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali.
Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering.
Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi wangu ni mtu mzima na anahitaji niwe karibu naye ili kumhudumia. Hivyo, ningependa kufahamu kama inawezekana kuomba kuhamishiwa kituo cha kazi kilicho karibu na nyumbani, Mwanza, au kuhamia taasisi nyingine kama TARURA, Halmashauri au Wizara ya Ujenzi, ambako ninaweza kutumia taaluma yangu ya Civil Engineering.
Kama kuna mtu aliyewahi kupitia utaratibu huu au anauelewa, naomba anishirikishe uzoefu wake na kunielekeza hatua sahihi za kufuata.
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
Umefanya kazi kwa muda gani?Habari za wakati huu Wakuu.

Miezi miwiliUmefanya kazi kwa muda gani?
Mkuu hata hawajakudhibitisha unataka kuhama?Miezi miwili
Ni ngumu sana kumsaidia huyo mdau.Wataalam na ma HR amo humu nadhani watakuja kukupatia ushauri
Habari za wakati huu Wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali.
Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering.
Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi wangu ni mtu mzima na anahitaji niwe karibu naye ili kumhudumia. Hivyo, ningependa kufahamu kama inawezekana kuomba kuhamishiwa kituo cha kazi kilicho karibu na nyumbani, Mwanza, au kuhamia taasisi nyingine kama TARURA, Halmashauri au Wizara ya Ujenzi, ambako ninaweza kutumia taaluma yangu ya Civil Engineering.
Kama kuna mtu aliyewahi kupitia utaratibu huu au anauelewa, naomba anishirikishe uzoefu wake na kunielekeza hatua sahihi za kufuata.
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.
Diploma in civil engineeringHiyo elimu yako inaitwaje? Diploma? Degree? ya nini? Bachelor of Civil engineering? Bachelor of Science in Civil Engineering? Bachelor of Science in higjway, Building?
Fafanua tafadhali.
Tarura kuna kufaa sana, Tafuta watu wakusaidie uhameDiploma in civil engineering
Najiuliza yupo mbali kiasi gani kutoka mzazi wake anapogulia hadi kituo cha kazi? Maana angejipanga tu namna ya kuenda nayo yote mawili - kazi na kuuguza.Ni ngumu sana kumsaidia huyo mdau.
Ndio kwanza ana miezi miwili kazini, mbaya zaidi ameshaanza saga za yeye ni civil engineer.
Only ndani ya Miezi 2 tu!! Utumishi wa Umma sio rahisi hivyo.
Japo ana matatizo ila hii yakuwa na haraka hivyo, atachokwa haraka sana.