Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Mm siwezi kukataa kwa sababu mazingira na malezi niliolelewa sioni umuhimu wa kudanganya kwa kitu ambacho sina.Haitanisaidia chochoteJF ndivyo ilivyo.
Yaani ni kama wewe unavyotumia TECNO, lakini ukiambiwa utakataa na kutaja Samsung au iPhone
Hapo kuna ukubwa gani wa Kazi Mkuu.
Working Hours ni 36 per Week??
Hao Wamevimbiwa SanaKuna wadau wanasema ni kidogo.
Kipi sio kweli?Sio kweli.
Endapo una uhakika na umri wa wengi hapa, uko sahihi kuhitimisha hivi.VIJANA MNA MAWAZO YA KISHAMBA SANA
Kitambo sana. Pia VSO nilikutana na ubabaishaji.Pole mkuu, itakuwa ni siku za nyuma kidogo bila shaka.
Mkuu, kwani maana ya manager ni nini? Au manager kwa huko TRA inamaanisha nini?Acha uongo!! 5M ni mshahara wa ngazi ya Manager TRA, kwa hiyo Manager wa TRA ni afisa mdogo kicheo??
Umesema Afisa wa kawaida which means ni Tax Officer, Custume Officer, Ambaye anakua chini ya Managar wakitengo husika!!Mkuu, kwani maana ya manager ni nini? Au manager kwa huko TRA inamaanisha nini?
Inawezekana nimechanganya maana, sio mbaya!
Baada ya mishahara ya TRA kuwa consolidated, manager wa ngazi gani anayechukua 5m?
Hizo ni baadhi ya Organizations uchwara tu.Kitambo sana. Pia VSO nilikutana na ubabaishaji.
Sasa vipi na Serikali yetu huko kimataifa?UK embassies and High Commission world wide kwa locals wanalipa salary ndogo sana. Hizi balozi taabu kweli, maana kazi ndogo ndogo unaweza kuta kapewa mtu wa kwao, ila salary ya mtu wa kwao hapo utakuta $ 20,000 per month ( Salary + allowances inclusive) Ila Locals tena professional ndio $ 2,000 basi..!!
Sasa vipi na Serikali yetu huko kimataifa?
Anyway wenzetu wanajitahidi kulipa vizuri.No, with comparison to UK wealth, huo mshahara mdogo, achana na serikali yetu.
Naona wewe una shida ya lugha jombaa.Ndogo sana bado makato na kuishi labda uipate ukiwa bongo kwa nje standard labda 10mil za kibongo angalau.
Malipo sio masaa tu, aina ya kazi inahusika pakubwa. Kazi zote ni muhimu ila hazina maslahi sawa. Kuna wanamichezo wanalipwa nyingi zaidi kwa kuwa uwanjani dk 90 mara 2 kwa wiki.Inasikitisha bado kuna watu wanasema hiyo 5.3M ni kidogo.
Huyo Mwalimu anayelipwa 500k bado anafanya kazi zaidi ya Saa 40 kwa wiki.
Huyu wa 5.3M mara kumi zaidi ya Mwl anafanya kazi kwa Saa 36 tu kwa Wiki.
Taasisi kibao kibao wanachukua hiyo tena ndogo kaangalie kama TCRA ,EWURAMkuu, kwani maana ya manager ni nini? Au manager kwa huko TRA inamaanisha nini?
Inawezekana nimechanganya maana, sio mbaya!
Baada ya mishahara ya TRA kuwa consolidated, manager wa ngazi gani anayechukua 5m?
Umenielewa nilichoandika kwa bongo fresh ila kama kuishi nje sio fresh ....Acha kukurupuka .Naona wewe una shida ya lugha jombaa.
Teh teh 😂😂 watz bhana..Pesa ndogo