Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

Sasa hata deductions haujui then umekaza shingo ,kwa huo uwelewa sijui shule ulienda kufanya nini,
Uko poor kidogo kwenye kazi za aina hii.
Sema umekariri vitu vingi.
Hapo juu ulianza kusema NGO NGO...

Sasa nakwambia hizo deduction zako utabaki nazo huko huko.
 
Nimesoma vizuri hayo majukumu, ni makubwa sana kuliko hiko kipato, hapo jamaa wanatafuta cheap labour

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Majukumu huwa yanakuwa hivyo siku zote.
Ni wamekuandikia kila kitu.
Na kazi kwa wiki ni Saa 36.

Uzito zaidi unauona kwenye nini?
Kwenda kazini 7:30am hadi 3:30pm.
Then Friday unafanya only 5hours.
 
Narudia acha kukariri mambo.
 
Uko poor kidogo kwenye kazi za aina hii.
Sema umekariri vitu vingi.
Hapo juu ulianza kusema NGO NGO...

Sasa nakwambia hizo deduction zako utabaki nazo huko huko.
Hiyo nilioattach Ni baadhi ya maelezo ya hiyo kazi Sasa Kama haukwenda shule kuuza maandazi utaelewa Kama hiyo position Ina deductions au mshahara Hauna deductions
 
Maana yake wewe walipwa kuzidi hiyo pesa tajwa?
 
Employees who are not liable to pay local income tax on their Mission salary may have their salaries reduced by the equivalent local income tax amount.

Tafsili isiyo rasmi
Kama haupo kisheria kulipa Kodi ya mapato ya ndani kutoka kwenye huo mshahara Basi mshahara wako utapunguzwa mfanano na hizo Kodi za ndani ,means Kama makata ya ndani ambayo ulitakiwa kulipa Ni laki Saba bus mshahara wako utapunguzwa kutoka 5.3M to 4.6m
 
Sasa hapo huo mshahara una deductions au Hauna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…