Nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni ipi, Kwanini Rais wa Zanzibar awe Msaidizi wa Rais Samia?

Hao watu wenu wameamua kwamakusudi kuchochea ajenda za chuki na Mgawanyiko wa jamii kwamba ndio ukosoaji.

Ukweli wanaufahamu ila wanafabya makusudi kabisa so badala ya kuwacheka wanatakiwa kushughulikiwa.
Magufuli alikuwa Katili kuliko wewe mtu duni kabisa, leo yuko wapi?
 
Mpinge kwa Hoja, just argue with reasons ili aweze kujifunza endapo kama amekosea.
Uko sahihi mkuu, lakini pamoja na hayo inaonekana Rais wa JMT anasafiri kwenda China kwa mujibu wa Taarifa zilizotolewa. Kama Indonesia angeenda VP maana yake Rais na VP wote wangekuwa nje ya nchi. Hizi huwa ni rare cases sana. Wanaoplan safari za viongozi sio wajinga aiseee
 
Kwani Mpango bado yupo?
 
Hii nchi yetu ina mrundikano wa vyeo vingi visivyo na tija, ilimradi tu watu wanapeana ulaji.
 
Baada ya Muungano Rais wa Zanzibar alihesabika kama makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano na hata baada ya miaka tisini bado Raisi wa Zanzibar alikuwa na haki sawa za kikatiba kama makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano ila baadae sijui ni kipi kilifanyika mpaka ikawa Raisi wa Zanzibar akawa hana hadhi yoyote ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano kitendo cha Rais Samia kuitawala Tanganyika kupitia katiba ya Jamhuri ya Muungano ni kama anajaribu kuhuisha Matakwa ya hati ya Muungano yalio porwa na kuhodhiwa na viongozi wa Tanganyika
 
Sina hakika kama Mingi wenu ni mpumbavu yaani awatetee kwenye ajenda za kuleta mgawanyiko? Aisee atakuwa Mungu mpumbavu sana
Kijana tafuta kazi kwanza huna hata force number Wala check number kutwa kushinda jamii forum kubwabwaja tu.. kushabikia watu wasiokujua Wala huna unalolijua kwao Hadi uoneshwe unayopaswa kuyaona na kujua
 
I. The constitution hierarchy applies in an event rais hayupo nchini, amepata incapacitation or when s/he is no more.
I have no problem with that👆
2, kuna baadhi ya nchi mabalozi wetu sio Watanzania.
What exactly do you mean here? Do you mean that, the president sometime appoints ambassadors who are not Tanzanian citizen...?
 
Shida ni kufanya nje ya utaratibu wa kikatiba. Hilo ni kosa na hiyo inaitwa constitutional abuse....

Kinachotakiwa ni yeye kutumia fursa aliyonayo ya sasa ya mamlaka ya u - Rais kufanya major basic constitutional reforms ikiwemo kurudisha hiyo hadhi ya Rais wa Zanzibar ktk serikali ya muungano....

Lakini kwa kutaka kuyarudisha kiwiziwizi kwa kutumia mlango wa nyuma nje ya utaratibu wa kikatiba, ni kosa kubwa sana. Yaweza kuwa hata kosa la uhaini...!!
 
Pascal, ipaka inayotambuliwa kimataifa ni ile ya wakoloni wajerumani/waingereza!~ Short of thsat kutkuwa na mvurugano maana Kagera ni part of Buganda empire.........ndiyo mana wahaya hasa wa Kiziba wanajinasibu zaidi na Uganda kuliko TZ
 
Wazenj, wasipokula bata kipindi hiki,marais wote wa TZ ni wazenj, na islam, basi haitajirudia,
 
Umesomea Katiba?
 
Angalia ujinga kama huu nao unakuwa ni sehemu ya kuyahusisha na maswala ya serikali? Hii CCM imekuwa ni tatizo hasa ndani ya nchi hii.
Kwako...kwako wewe ni ujinga mkuu wangu[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…