Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Hizo fix za Mayalla?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo fix za Mayalla?
Magufuli alikuwa Katili kuliko wewe mtu duni kabisa, leo yuko wapi?Hao watu wenu wameamua kwamakusudi kuchochea ajenda za chuki na Mgawanyiko wa jamii kwamba ndio ukosoaji.
Ukweli wanaufahamu ila wanafabya makusudi kabisa so badala ya kuwacheka wanatakiwa kushughulikiwa.
Uko sahihi mkuu, lakini pamoja na hayo inaonekana Rais wa JMT anasafiri kwenda China kwa mujibu wa Taarifa zilizotolewa. Kama Indonesia angeenda VP maana yake Rais na VP wote wangekuwa nje ya nchi. Hizi huwa ni rare cases sana. Wanaoplan safari za viongozi sio wajinga aiseeeMpinge kwa Hoja, just argue with reasons ili aweze kujifunza endapo kama amekosea.
Kwani Mpango bado yupo?Ikiwa Makamu wa Rais wa Tanzania yupo na ni mzima wa Afya, inakuwaje mtu asiye na cheo chochote Tanzania amwakilishe Rais wa Tanzania?
Rais wa Tanzania pia ni Rais wa Zanzibar, lakini Rais wa Zanzibar siyo Rais wa Tanzania yote.
It's just like a one-way traffic, not the two-way traffic.Kwa mujibu wa katiba ya JMT, nafasi ya VP ni just only if President hayupo, kama vile ile ya March 17, lakini president akiwepo, VP hana any executive powers zozote zaidi ya kusubiria just in case rais ata nanilii!, hivyo Rais anaweza kumpangia mtu yeyote kumwakilisha popote na hajakiuka katiba!.
Tujifunze katiba ya JMT.
Mimi nimejitolea kusaidia Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
P
Una maanisha nini kusema hivyo??Kwani Mpango bado yupo?
Sijamsikiaga tangu isemekana anaumwa/kalazwa!Una maanisha nini kusema hivyo??
Maana ya mayala ni Njaa.. anatafuta uteuzi huyoNimeshangaa sana! Hadi nikajiuliza huyu ni mwanasheria kweli au ni kishoka?
Kwani alienda wapi?Kwani Mpango bado yupo?
Kijana tafuta kazi kwanza huna hata force number Wala check number kutwa kushinda jamii forum kubwabwaja tu.. kushabikia watu wasiokujua Wala huna unalolijua kwao Hadi uoneshwe unayopaswa kuyaona na kujuaSina hakika kama Mingi wenu ni mpumbavu yaani awatetee kwenye ajenda za kuleta mgawanyiko? Aisee atakuwa Mungu mpumbavu sana
I have no problem with that👆I. The constitution hierarchy applies in an event rais hayupo nchini, amepata incapacitation or when s/he is no more.
What exactly do you mean here? Do you mean that, the president sometime appoints ambassadors who are not Tanzanian citizen...?2, kuna baadhi ya nchi mabalozi wetu sio Watanzania.
Shida ni kufanya nje ya utaratibu wa kikatiba. Hilo ni kosa na hiyo inaitwa constitutional abuse....Baada ya Muungano Rais wa Zanzibar alihesabika kama makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano na hata baada ya miaka tisini bado Raisi wa Zanzibar alikuwa na haki sawa za kikatiba kama makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano ila baadae sijui ni kipi kilifanyika mpaka ikawa Raisi wa Zanzibar akawa hana hadhi yoyote ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano kitendo cha Rais Samia kuitawala Tanganyika kupitia katiba ya Jamhuri ya Muungano ni kama anajaribu kuhuisha Matakwa ya hati ya Muungano yalio porwa na kuhodhiwa na viongozi wa Tanganyika
Pascal, ipaka inayotambuliwa kimataifa ni ile ya wakoloni wajerumani/waingereza!~ Short of thsat kutkuwa na mvurugano maana Kagera ni part of Buganda empire.........ndiyo mana wahaya hasa wa Kiziba wanajinasibu zaidi na Uganda kuliko TZZitakuwa mara ngapi wakati ni kweli Dar, Tanga na maili kumii za eneo lote la pwani yote ya Africa Mashariki kuanzia Sofala hadi Lamu ni milki ya Sultan of Zanzibar. Mwaka 1890 ndipo Germany ikafanya mkataba wa Hellingoland, the Zanzibar Treaty kulinunua. Mama Kizi akilifanya la Zanzibar, atakuwa ni amerejesha kilichokuwa chake.
P
Hata mtoto wa chekechea hawezi kuuliza swali kama hili!Ana cheo gani Tan
Wazenj, wasipokula bata kipindi hiki,marais wote wa TZ ni wazenj, na islam, basi haitajirudia,Kitendo hiki ni Cha Uvunjaji mkubwa zaidi wa Katiba ya nchi hii ya Tanzania.
Rais wa Zanzibar hana mamlaka ya ki-Urais ya kuweza kumwakilisha Rais wa Tanzania huko nje ya nchi kwani hana mamlaka ya kikatiba kwa upande wa Tanganyika. Aidha, Makamu wa Rais wa Tanzania anayo mamlaka ya kiutendaji u-Rais) hata kwa upande wa Zanzibar, lakini nashangaa ni kwa nini Makamu wa Rais mara nyingi sana amekuwa akienguliwa katika kupewa nafasi ya kumwakilisha Rais wa Tanzania katika ziara za kikazi huko nje ya Tanzania na badala yake nafasi yake imekuwa ikiwaklishwa na Rais wa Zanzibar, mtu ambaye mwenye Cheo kidogo ukilinganisha na cheo Cha Makamu wa Rais.
Nafikiri ndani ya Ikulu ya Rais wa Tanzania kuna tatizo kubwa Sana hususani kuhusiana na Mambo ya masuala ya Itifaki (Protocol). Kuna shuhuda nyingi sana za wazi kabisa ambazo zimedhihirisha kwamba Masuala haya ya Itifaki ndani ya Ikulu ya Rais wa Tanzania yamekuwa hayazingatiwi wala kutiliwa maanani. Mara nyingi Itifaki hii imekuwa ikivunjwa hadharani, na tatizo hili limekuwa likijirudia rudia.
Kwa kuzingatia Muundo wa Utendaji ndani ya Ikulu ya Rais wa Tanzania, Je, mtu mwenye Cheo gani hasa ndani ya Ikulu ambaye anahusika moja kwa moja na Usimamizi wa masuala ya Itifaki katika nchi hii???
Umesomea Katiba?Kwa mujibu wa katiba ya JMT, nafasi ya VP ni just only if President hayupo, kama vile ile ya March 17, lakini president akiwepo, VP hana any executive powers zozote zaidi ya kusubiria just in case rais ata nanilii!, hivyo Rais anaweza kumpangia mtu yeyote kumwakilisha popote na hajakiuka katiba!.
Tujifunze katiba ya JMT.
Mimi nimejitolea kusaidia Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
P
[emoji1787]Rais anaweza kumtuma hata FaizaFoxy kumwakilisha popote.
Kwako...kwako wewe ni ujinga mkuu wangu[emoji1787]Angalia ujinga kama huu nao unakuwa ni sehemu ya kuyahusisha na maswala ya serikali? Hii CCM imekuwa ni tatizo hasa ndani ya nchi hii.
Shukran mkuu wangu [emoji7]Asante kwa ufafanuzi wako