Kwan nlichoeleza n kipi tofauti, Namjua mtu nliempokea wakati ndo anatoka dempo m ndo nkiwa nafanya kazi sekta binafsi, Alitoka depo 2020 tukaishi wote of course alikuwa polisi wakawaida na Lindo alikuwa anaenda kama kawaida pamoja na kuwa na degree yake ya Sheria, lakin hakuchelewa mwaka huu kamaliza kupiga nyota moja, and wakati anaajiliwa Salary yake alilipwa kwa degree yakeHakuna kitu kama hicho kwenye vyeo atapanda kama polisi wa kawaida jina litatoka au litachaguliwa kama polisi wa kawaida ikifikia kipindi cha kwenda kusoma kuongeza cheo
Tofauti ni mshahara hapo tu
Utofauti ulioeleza upoKwan nlichoeleza n kipi tofauti, Namjua mtu nliempokea wakati ndo anatoka dempo m ndo nkiwa nafanya kazi sekta binafsi, Alitoka depo 2020 tukaishi wote of course alikuwa polisi wakawaida na Lindo alikuwa anaenda kama kawaida pamoja na kuwa na degree yake ya Sheria, lakin hakuchelewa mwaka huu kamaliza kupiga nyota moja, and wakati anaajiliwa Salary yake alilipwa kwa degree yake
Na vipi huyu ambaye hakupita ukopro wala usergeant yeye kakaa 2 years kaenda nyota tena akanambia ukiwa na degree huwezi pitia hvyo vyeo ulivyo taja hapo, ispokuwa kama ulikuwa na form six ndo utapitia hvyo vya ukopro sjui sajenti au ukawa na form four ukajiendeleza tayr ukiwa kwenye ajira ukapata degree ndo utapitia hyo ya ukopro sjui usajenti na huyu n mwajiriwa wa jeshi la polisi anae nieleza haya n vipi ananidanganya ?Utofauti ulioeleza upo
Cha kwanza umeweka time limitations " atakaa at least miaka 3 " kwenye post. yako vyeo haviendi hivyo anaweza akaa hata miaka mitano au hata yule form 4 anaweza kwenda kuongeza cheo akakuacha factors ni nyingi tu hakuna anayejua cheo anaongezeka lini ila cheo lazima atapata tu kwa elimu yake
Cha pili uliposema anaenda nyota umesahau hapo nyuma kuna vyeo kama constable ,kopro ,na sergeant hivyo lazima apitie vyote havirukwi hivyo hata kama una degree sasa ndio hivyo ukiwa na bahati utapanda haraka haraka ukiwa na gundu ndio hivyo utachelewa
Ila mshahara wako ni tofauti kutokana na elimu hiyo ndiyo advantage kubwa mfano ukiwa na masters mshahara una range unafanana na ssp hata kama we ni seargent au inspector [emoji1787]
Medical check-up hivi Kwenye Tangazo ulisoma vizuri maana hapo kwenye awe na afya njema kimwili na kiakili iliyodhibitishwa na daktari WA serikaliWe tuma tu mbona ni rahisi hakuna gharama hata posta huendi hata mda hupotezi
Hawajataka paspoti size
Form ya medical check-up
Barua ya utambulisho
Kama siku zote
Upo sahihi mkuu huwez kuwa na degree eti uwe kopro tena utakaa hiyo miaka miwili then nyota moja mi mwenyewe nimeambiwa ivoNa vipi huyu ambaye hakupita ukopro wala usergeant yeye kakaa 2 years kaenda nyota tena akanambia ukiwa na degree huwezi pitia hvyo vyeo ulivyo taja hapo, ispokuwa kama ulikuwa na form six ndo utapitia hvyo vya ukopro sjui sajenti au ukawa na form four ukajiendeleza tayr ukiwa kwenye ajira ukapata degree ndo utapitia hyo ya ukopro sjui usajenti na huyu n mwajiriwa wa jeshi la polisi anae nieleza haya n vipi ananidanganya ?
Nafikiri anwani ni moja tu ya makao makuuHapo kwenye barua kuwasilisha kwa kamanda wa polisi mkoa,
Kwenye barua kuna haja ya kuandika barua ikiwa na kupitia kwa (K.k)??
Au ni kuweka anwani moja ya makao makuu tuhhh
Ndo.hvo mkuu vijana ombeni tena ukiwa na degree ata Lindo unaenda Mara moja moja sana, jamaa alikuwa anaenda Lindo.mara moja moja sana muda mwingi walikuwa wanampa.vikazi tu ofisini and salary nakumbuka alianza na miatisa na kitu hv bado alikuwa na viposho posho kibaoUpo sahihi mkuu huwez kuwa na degree eti uwe kopro tena utakaa hiyo miaka miwili then nyota moja mi mwenyewe nimeambiwa ivo
Degree ni nadra kupitia ukoplo...huwa wanaenda moja kwa moja kufanya course ya uspecial sergeant na kuunganisha na nyotaUtofauti ulioeleza upo
Cha kwanza umeweka time limitations " atakaa at least miaka 3 " kwenye post. yako vyeo haviendi hivyo anaweza akaa hata miaka mitano au hata yule form 4 anaweza kwenda kuongeza cheo akakuacha factors ni nyingi tu hakuna anayejua cheo anaongezeka lini ila cheo lazima atapata tu kwa elimu yake
Cha pili uliposema anaenda nyota umesahau hapo nyuma kuna vyeo kama constable ,kopro ,na sergeant hivyo lazima apitie vyote havirukwi hivyo hata kama una degree sasa ndio hivyo ukiwa na bahati utapanda haraka haraka ukiwa na gundu ndio hivyo utachelewa
Ila mshahara wako ni tofauti kutokana na elimu hiyo ndiyo advantage kubwa mfano ukiwa na masters mshahara una range unafanana na ssp hata kama we ni seargent au inspector [emoji1787]
Medical check-up hivi Kwenye Tangazo ulisoma vizuri maana hapo kwenye awe na afya njema kimwili na kiakili iliyodhibitishwa na daktari WA serikaliView attachment 2438318
Basi na ya utambulisho itakuwa inawekwaInatakiwa uambatanishe na hiyo. Muhimu sana
Ila lakini kwenye viambatanisho huwa wanasemaga wenyewe barua ya utambulisho , na fomu ya daktari kama matangazo yaliyopitaMedical check-up hivi Kwenye Tangazo ulisoma vizuri maana hapo kwenye awe na afya njema kimwili na kiakili iliyodhibitishwa na daktari WA serikaliView attachment 2438318
Utambulisho baadae itahitajika utapewa form ya Polisi ambayo utaijaza inatakiwa humo saini na mhuri WA mwenyekitiBasi na ya utambulisho itakuwa inawekwa
HawaJawah kutoa form kwa ajili ya utambulisho. Labda kama kwa application za mikoani ila za makao makuu ilikuw unafuata mwenyewe kwenye makazi yao but this time naona hawajaiweka kabisa.Utambulisho baadae itahitajika utapewa form ya Polisi ambayo utaijaza inatakiwa humo saini na mhuri WA mwenyekiti
Mkuu ukirudi kwenye barua paleIla lakini kwenye viambatanisho huwa wanasemaga wenyewe barua ya utambulisho , na fomu ya daktari kama matangazo yaliyopita
Hapo kwenye viambatanisho hivyo vitu havipo
Maana kusema hivyo ulivyosema inaweza ikawa labda ni kama msisitizo au kama vigezo kama wanavyosema usiwe mhalifu au umewahi kuajiriwa serikalini maana kama kupimwa utapimwa tu
Fomu ya daktari muhimu,lazima tuiweke.Mkuu ukirudi kwenye barua pale
Kipengele ( F),Sifa za waombaji
Wanahitaji hyo fomu ya daktari.
Uhakika huoFomu ya daktari muhimu,lazima tuiweke.
Jamaa wa ikulu hata simu hapokei kabisavp ujapata za msata maana Bachelor OG anaweza mfunga jamaa wa ikulu[emoji23]