Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama mlivyosikia hapo kuwa mwezi kuna ajira zingine ni vyema mkaanza kujipendekeza kwa wakubwa mapema
Jiungeni kwenye kwaya za wazee makanisani kwenu zina wastafu wengi

Kwa kigoma kanisa la Roma katubuka kuna meja general mstaafu anasali pale na kuimba kwaya ana spacio ya silver

Roman Catholic kigango cha mlole kuna mkuu mstaafu wa magereza alikuwa tabora kastafu mwaka jana

Kanisa la (sijui) Lipo pale saigoni kuna RCO huwa anasali pale na ni mwenyekiti wa kwaya

Pia ndugu yetu TPDF_23 endelea kuendesha bodaboda hapo nyasura
😂😂😂 mwanangu Bachelor ll Nakukubali sana endelea kupiga debe mwanang utapata tu watu...,ila mimi sio wa hivo na sina haraka na kuingia chomboni ila ntaingia tu ndio kwanza nmefikisha miaka 20 juzi tarehe 08/04..... kwahyo muda bado sana siwazi saivi nasimamia biashara za mshua uhakika wa kuingiza 3M per month upo.....watu hatuendi jeshi kwa sababu ya ugumu wa maisha wengine tunataka kwenda kwasababu ya mapenzi tu na jeshi....Endelea kupambana mwanang Bachelor II😂😂😂
 
Hapa nimeongelea hizi ajira za juzi zilizotangazwa hawajaanza hata kuitwa vikosini mkuu.
Wanaoenda ni wale waliokuwa vikosini na wenye connection ila hiz za juzi bado wanachambua majina.
nasikia kozi msata inaweza funguliwa tar 1
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanangu Bachelor ll Nakukubali sana endelea kupiga debe mwanang utapata tu watu...,ila mimi sio wa hivo na sina haraka na kuingia chomboni ila ntaingia tu ndio kwanza nmefikisha miaka 20 juzi tarehe 08/04..... kwahyo muda bado sana siwazi saivi nasimamia biashara za mshua uhakika wa kuingiza 3M per month upo.....watu hatuendi jeshi kwa sababu ya ugumu wa maisha wengine tunataka kwenda kwasababu ya mapenzi tu na jeshi....Endelea kupambana mwanang Bachelor II[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanangu una miaka 24 na bado unamfuja mzee wako
Toka kwenu ukapange

Kipindi Nina miaka kama yako nilikuwa nimeshahama home nipo kwa shemeji yangu
 
Mwanangu una miaka 24 na bado unamfuja mzee wako
Toka kwenu ukapange

Kipindi Nina miaka kama yako nilikuwa nimeshahama home nipo kwa shemeji yangu
Me nyumbani kwa baba na mama ntatoka nikiwa na miaka 45 na nikitoka nyumbani naenda kukaa kwa dada....😂🤘
 
Maramba jkt..sio?.

Kwa afande Lt colonel Muruga sio.

Afu huyo mwamba aliyekimbia anaitwa malimi sio?
Pale pale Kwa muruga, ila nasikia sahivi hayupo tena pale

Huyo afande Kuna jina la utani tulikuwa tunamuita,. Nimelisahau
 
Kweli hizi lonja aisee..

Maana me najua mbona watu wanaenda tu[emoji28],,,tena bila jakata wala nini.
Usipend kuongea kweny kitu ambacho kipo serious mzee hamn mujibu atae pita kwenye izi nafasi zaid asubiri mwezi wa nane pia naomba kusema kama kuna mujibu anasubir majibu ya izi nafasi naomba afanye ishu zingine uku akisubir mwezi wa nane
 
Usipend kuongea kweny kitu ambacho kipo serious mzee hamn mujibu atae pita kwenye izi nafasi zaid asubiri mwezi wa nane pia naomba kusema kama kuna mujibu anasubir majibu ya izi nafasi naomba afanye ishu zingine uku akisubir mwezi wa nane
Sasa mwezi wa nane si wanatakiwa wale special kama engineers,doctors etc..
 
Yaan kwel mchawi connection hapo pan rafik yangu Ana degree ya kiswahili with education kapata nafas na hana Chet cha Jakata dahh aisee
 
Back
Top Bottom