Kama mlivyosikia hapo kuwa mwezi kuna ajira zingine ni vyema mkaanza kujipendekeza kwa wakubwa mapema
Jiungeni kwenye kwaya za wazee makanisani kwenu zina wastafu wengi
Kwa kigoma kanisa la Roma katubuka kuna meja general mstaafu anasali pale na kuimba kwaya ana spacio ya silver
Roman Catholic kigango cha mlole kuna mkuu mstaafu wa magereza alikuwa tabora kastafu mwaka jana
Kanisa la (sijui) Lipo pale saigoni kuna RCO huwa anasali pale na ni mwenyekiti wa kwaya
Pia ndugu yetu
TPDF_23 endelea kuendesha bodaboda hapo nyasura