Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

waooh😊😊 mkuu but kesi zina procedure ndeefu, je umejipanga vizuri kumfungulia kesi huyo nguli wa ubelgiji????πŸ˜„πŸ˜„
Nakuelewa mkuu, ni kweli zinaprocedure! Nimeisha kusanya ushahidi na naendelea na taratibu. Nitawaachia wanasheria wangu wafuate taratibu.
 
Kama kweli wazazi walikufundisha uwezi ukatumia matusi katika hoja. Unachotakiwa ni kujibu hoja. Mbona wengi humu wamepinga kwa hoja au kutoa ushauri. Msomi kama weye uwezi tumia lugha chafu kuwasilisha hoja. Hii inanipa mashaka kidogo na malezi. Ebu nambie upumbavu wa hoja ya kushitaki upo wapi?
Namjua vizuri Tundu Lissu, kwa hoja kama hii anajibu kisheria hawezi tukana. Mtu anae kimbilia lugha za matusi ugomvi wataalamu wanasema anaufupi wa kufikiri. Hivyo anachoona kitamwokoa ni matusi.
Karibu utukane. Tukana sana! Lakini uwezi zuia nia na kusudi langu. Wala kunikatisha tamaa. Ubarikiwe!
 
Matusi yangu unayaona lakini ya jiwe huyasikii wala kuyaona!!! Lini utamfungulia kesi jiwe kwa udhalimu wake.
 
Buku 7 imeingia?
Ha ha ha! Misemo hii watu wamekariri. Hivi watanzania hatuna mawazo mbadala, hata mtu akitoa hoja ukapingana nae kwa hoja mpaka kutumia misemo ambayo nadhani ishapoteza mvuto. Nauza vitumbua hiyo fedha inanitosha.
 
Matusi yangu unayaona lakini ya jiwe huyasikii wala kuyaona!!! Lini utamfungulia kesi jiwe kwa udhalimu wake.
Sasa ndugu yangu unataka kunichonganisha, mie hapa naongelea kinachonihusu. Sheria ya madai inanitaka kuthibitisha damage niliyoipata kwa kile nacho kidai. Sasa hili nitalithibitisha vipi? sheria inataratibu zake.
 
Sheria ina taratibu zake kumfungulia mashtaka jiwe lakini Lissu kila juha ana haki ya kufungua mashtaka dhidi yake.


Sasa ndugu yangu unataka kunichonganisha, mie hapa naongelea kinachonihusu. Sheria ya madai inanitaka kuthibitisha damage niliyoipata kwa kile nacho kidai. Sasa hili nitalithibitisha vipi? sheria inataratibu zake.
 
Lissu keshafulia, ni wakupuuza tu kama wananchi mlivyompuuza mara ya kwanza kwenya maandamano yake ya nchi nzima.


Eti magu liko kuzimu ??πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Eti magu liko kuzimu ??πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Vyovyote vile iwe kuzimu ama Duniani,lakini akitoka yeye anakuja mwingine kutoka chama kilikile na wembe ni uleule.
 
Ujuha uliokithiri!
Hawajui dawa ya deni ni kulipa...kwa bahati mbaya awamu hii washamba na limbukeni wametamalaki huku wakiteseka nafsi zao kwa ujuha wao
 
Reactions: BAK
CCM kwa sasa umekuwa uwanja wa fujo Wazee wa madishi yaliyoyumba na Vijana wenye IQ hafifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…